Vipi mrembo wetu miss world?

Vipi mrembo wetu miss world?

Bantugbro

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2009
Posts
4,473
Reaction score
4,252
Wakuu naomba mtu aweke matokeo ya mrembo wa Tanzania katika fainali ya Miss World hapo Jozi hii leo!🙄🙄
 
Mwakilishi Miriam Kabula wetu hakuweza kuingia raundi ya pili.
 
Kwenye mahojiano atakapo rudi "mashindano yalikuwa magumu sana nilifunikwa sana na washiriki wenzangu yaani nilijitahidi sana", yale yale hakuna jipya, ngoja tusubiri.
 
arudi achune mabuzi
kama wenzie............
 
Back
Top Bottom