1. Seven heavens-Mbingu kweli saba
2. Worm holes
3. Sea's can seperated and No light down there
4. Bigbang and bing crunch
5. Singularity
6. Black holes
7. Dark matter
8. Gravity
9. Human embrology
10. expanding of the universe
11. Time is relative
12. nerves in skin
13. ice in coments
14. seas
Huyu ni mtume, wote wana science wamekuja kujua kipindi hiki yote hayo.
sija sema havikuwepo vilikuwepo ila 1400 iliopita technology ilikua duniiiii saaana tuseme kulikua hakuna ila technology ya sasa ndo wamekuja kuvigundua.
[Quran 6.125] Those whom Allah wants to guide, He opens their chests to Islam; And those whom He wants to leave astray, He makes their chests tight and constricted, as if they are ascending to the sky: Such is the penalty of Allah on those who refuse to believe.Kama porojo, kalale ukaote ndo zako za kitanda
Umesema kuhusu Tissue za Mafarao. Sasa yule Farao wa Misri aliomsumbua Sana Mussa na wana wa Israel. QURAN imesema mwili wake utahifadhiwa. Wala hautooza ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo. Na ndio maana mpaka leo ukienda Misri utaukuta mwili wake na ndani ya mwili wake kuna organs zote kama moyo, mapafu , utumbo nk. Heby jiulize toka Enzi za Mussa mpaka leo ni miaka Mingapi?Teknolojia duni hipi unayoizungumzia?
Mpaka leo Dunia inajiuliza hayo Mapiramidi ya Misri yalijengwaje imebakia dhana tu
Mapharao walikufa maelfu ya miaka lakini Mapaka leo mabaki yao ya soft na hard tissue yapo, wewe unataka science na teknolojia hipi?
Tatizo ukiwa na chuki hautaendelea ss myoa mada kama alivyosema mambo hayo mtume aloyataja miaka 1400 nyuma na kipindi hicho sayansi ilikuwa bado duni sana yaani kulikuwa hamna satelites(artificial satellites) na pia vipimo vingine ila yy aliweza kuyajua hayo sasa alijua juaje???Mtume kazaliwa kayakuta hayo yote yapo, ni uvivu wako tu wa kusoma, wewe umekaa na kitabu kimoja tu tena unasomewa na kutafsiriwa na viongozi wako
na pia ukae ukijua Mtume ndio kaja kuiua kabisa Sayansi ya Waarabu waliyoiiba kule kwa watu weusi wa Misri, Sudan na Ethiopia,
Wewe unachokiamini ndicho wanazuoni walipokuwa wanawakataza Wanasayansi wasiangaike kufanya tafiti zao za Kisayansi kwani Sayansi yote iko ndani ya Quran, watu wakaacha kufanya tafiti wakaanza kujikita kwenye kuitafuta sayansi kwenye Quran na mwisho wake ndio ikaiua kabisa Sayansi hiyo ya Mwarabu
Sayansi yote ya Dunia iko ndani ya Mapiramidi na mapango ya huko Misri, kila kitu kimo humo
Toa ushahidi si kuropoka 2Mtume kazaliwa kayakuta hayo yote yapo, ni uvivu wako tu wa kusoma, wewe umekaa na kitabu kimoja tu tena unasomewa na kutafsiriwa na viongozi wako
na pia ukae ukijua Mtume ndio kaja kuiua kabisa Sayansi ya Waarabu waliyoiiba kule kwa watu weusi wa Misri, Sudan na Ethiopia,
Wewe unachokiamini ndicho wanazuoni walipokuwa wanawakataza Wanasayansi wasiangaike kufanya tafiti zao za Kisayansi kwani Sayansi yote iko ndani ya Quran, watu wakaacha kufanya tafiti wakaanza kujikita kwenye kuitafuta sayansi kwenye Quran na mwisho wake ndio ikaiua kabisa Sayansi hiyo ya Mwarabu
Sayansi yote ya Dunia iko ndani ya Mapiramidi na mapango ya huko Misri, kila kitu kimo humo
Kwa hiyo tuseme yesu hakutahiriwa????[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] nauliza 2View attachment 454967
Mtume kaja juzi tu ndio akawapa Waarabu ustaarabu wa kupata tohara kwa wanaume, miaka maelfu yaliyopita Watu weusi wa Misri, Sudan na Ethipoia walikuwa wanapeana Tohara
Kama sayansi ilikuwa duni pyramids zilijengajwe?Tatizo ukiwa na chuki hautaendelea ss myoa mada kama alivyosema mambo hayo mtume aloyataja miaka 1400 nyuma na kipindi hicho sayansi ilikuwa bado duni sana yaani kulikuwa hamna satelites(artificial satellites) na pia vipimo vingine ila yy aliweza kuyajua hayo sasa alijua juaje???