Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Kwanza utueleze hayo maneno unayasoma gani na je unakiamini?

Muhammad kweli ni level nyingine. Maana ameweza kuwakaririsha ukilaza wake mpaka leo mnauamini. na hamtaki kufikiria nje ya box.
Umeletewa ushahidi ndani ya Qur'an,kama ilitaja science zote hizo,umeshindwa kutoa hoja hata moja ya kupinga.
Unabaki kuita watu vilaza,kumbe kilaziro ni wewe.
 

Hiv kabla hajaja huo mwaka 600 AD hiyo barrier haikuwepo?...
 

Musa Aliishi Miaka around 1400-1200 BC Mohamad kaja Miaka 600 AD, Musa na Mohamad wanagap la miaka zaidi ya 2000!...huoni Mohamad kaandika vitu ambavyo vilishakuwepo ? Sasa mirracle hapa inatoka wapi?
 
Musa Aliishi Miaka around 1400-1200 BC Mohamad kaja Miaka 600 AD, Musa na Mohamad wanagap la miaka zaidi ya 2000!...huoni Mohamad kaandika vitu ambavyo vilishakuwepo ? Sasa mirracle hapa inatoka wapi?
Maajabu ni kuwa alisema mwili wa Farao ulibaki ndani ya maji haujaharibika, ili iwe ni ukumbusho na funzo kwa wanaojifanya ni Mungu,kwa kutaa kumuabudu Mungu wa kweli, kwa vizazi vijavyo Na kweli mwili ulikuja opolewa baharini na kukutwa haujaharibika,miaka imeshapita .
 
Wewe mlevi wa mataptap, ziko mbingu ngapi unazozijua wewe? Ukafiri mbaya sana hadi akili pia inafungika, shame on you Lebron
 
Watu wengine ama kweli Kanisani hakuna kitu.
Yesu ni MTU kama Mimi na wewe.Iweje Leo aitwe Mungu.
Acheni kufuru hizo.
Mungu ana Miguu miwili?
Nauliza?

Tatizo lako wewe ndio unamtengeneza Mungu, usimpangie Mungu uwezo, Mungu anaweza kuwa chochote atakacho kuwa kijinga cha moto, kuwa mtu, kuwa mdudu nk, Mungu ndio kila kitu na ana uwezo wa kila kitu, cha ajabu wewe unakataa uwezo huo

Huwezi kusema Mungu "Hawezi" kuwa mtu, Hawezi kuwa na Miguu miwili
 
Umeletewa ushahidi ndani ya Qur'an,kama ilitaja science zote hizo,umeshindwa kutoa hoja hata moja ya kupinga.
Unabaki kuita watu vilaza,kumbe kilaziro ni wewe.
Sasa hapo umeona ni science hiyo au mtu kaandika walichofanya waliomtangulia?
unakuja hiyo mistari ya mtu ambae yeye mwenyewe hajui hatma yake itakuwaje huko mbele anakwenda wapi baada ya maisha haya.
 
Musa Aliishi Miaka around 1400-1200 BC Mohamad kaja Miaka 600 AD, Musa na Mohamad wanagap la miaka zaidi ya 2000!...huoni Mohamad kaandika vitu ambavyo vilishakuwepo ? Sasa mirracle hapa inatoka wapi?
Okay ni vema umeuliza ili ujuzwe. Quran imekamilika mia takriban 1400 iliyopita. Na wakati mtume amekuja mpaka anafariki. Mwili wa huyo Farao wa Mussa ulikua haujapatikana na wala ulikua haujulikani uliko. Mwili huo ulikuja kupatikana na wavuvi mwaka 1898.

So Quran imeongelea andiko hilo la MWILI WA FIRAUNI KUHIFADHIWA ILI UJE KUA FUNDISHO KWA VIZAZI VIJAVYO.

bila hata watu wa kipindi hicho kufahamu kua mwili huo upo baharini na haujaliwa na viumbe wa baharini na wala haujaoza hata tone.
 
Sasa hapo umeona ni science hiyo au mtu kaandika walichofanya waliomtangulia?
unakuja hiyo mistari ya mtu ambae yeye mwenyewe hajui hatma yake itakuwaje huko mbele anakwenda wapi baada ya maisha haya.
Wewe ndio umechelewa,hiyo kusema mtu hajui anakwenda wapi,ni misemo ya Lugha ya kiarabu,waarabu wana misemo yao kulingana na lugha ya kiarabu,kama katika kiswahili pia kuna misemo kama "Najua nitokako,sijui niendako,ngoja nile chakula kabisa."Sio kwamba huyu hajui endako,anajua anakwenda wapi,ila nikuweka sisitizo la kufanya kitu chenye manufaa mapema,usiseme nitafanya baadaye.
 
Quran 28
38. Na Firauni akasema: Enyi waheshimiwa! Sijui kama mnaye mungu asiye kuwa mimi. Ewe Haman! Niwashie moto unichomee udongo, unijengee mnara nipate kumchungulia mungu wa Musa. Na hakika mimi namwona yeye ni katika waongo.
 
AYA wazee wa pyramid.

Secrets of Pyramids


Upper part of pyramids were baked and then cast like modern cement.
For centuries, Egyptologists and geologists thought that the Egyptian pyramids were made of limestone blocks (up to 70 tons) that were quarried by chiseling limestone. Workers then carried those blocks up the pyramids on ramps. This building procedure was thought to be so superhuman that it made the pyramids become one of the Seven Wonders of the World. However today electron microscopes revealed that the blocks at the top have chemistries found nowhere in nature. Those blocks at the top must have been baked and then cast like modern cement (not chiseled from existing limestone) Learn More.

However 1400 years ago the Quran said that Pharaoh used baked clay (like modern cement; not chiseled limestone) to build their high rises:

[Quran 28.38] And Pharaoh said to his people: "I have not known a god for you other than myself; so Haman, light me a fire to bake clay so that I could build a rise high enough, maybe I see Moses' god whom I think is a liar."

38. Na Firauni akasema: Enyi waheshimiwa! Sijui kama mnaye mungu asiye kuwa mimi. Ewe Haman! Niwashie moto unichomee udongo, unijengee mnara nipate kumchungulia mungu wa Musa. Na hakika mimi namwona yeye ni katika waongo.


(The circumference of the circle is πD. So if the diameter is 10 units then the circumference should be 31.4 units. However in describing the temple the Christian Bible erroneously claims that the circumference is 30 units, making π = 3 (1 Kings 7:23))

Hivi ndo Quran tukufu inaeleza wazi jinsi gani walikua wakitengeneza hayo ma pyramid

FACTS HIZI HAPO.

1- The pyramids are 48 stories high.

2- They're made of 2+ million rocks.

3- Each rock from those 2+ million rocks weighs at least 2 1/2 tons. The heaviest ones weigh around 72 tons!

So how was it possible to lift each rock to 10s of stories high, let alone drag it? The secret, these rocks were all MAN-MADE from very special soil that Egypt has in abundance, and the rocks were heated at 900 degrees to become rock solid and to look almost naturally carved from mountains.
This was all confirmed by a Western Scientist, Prof. Davidovits, in 1981. This information wasn't known before that.

Science has confirmed it in 1981, and the Holy Quran already mentioned it 1,400 years ago.

KISODA 2 MZEEWA UBISHI BILA HOJA NJOO UOKOE ZALI KAMA UTAWEZA THUBUTU.
 
Unaposema furani hakujenga kitu fulani maana yake mjenzi unamjuwa, hivyo ni vyema ukamtaja badala ya kubwabwaja tu. Ujinga huu.
Matusi ya nini link hiyo hapo pitia ujiridhishe halafu neo urudi hapa kwa hoja .
 
Huyu ana wenzake,siwataji hapa lakini wanajulikana,nimeshawapa uthibitisho mwingi kuhusu Qur'an ilivyo sahihi katika nyanja zote za kielimu.Zaidi mwisho wanabaki hawana hoja za kujibu.
Wajuwa wengi wamekuwa brain washed,kwamba uislamu uko nyums kielimu kwa kutizama makabila yalioko hapa kwetu,ambayo toka asili yao hawana mwamko wa kielimu,wakati wapo pia wa dini zao wasiopenda elimu.Hawajui kama hata chuo kikuu alianzisha Mtume Muhammad (SAW),ndani ya msikiti,na kufuatiwa na chuo kikuu kilichotambulika kwanza dunia nzima,ambacho alianzisha mwanamke wa kiislamu nchini Morocco,na mpaka Leo kipo.Kwa hiyo mtu anaposoma chuo kikuu ajue ni Mwanamke wa kiislamu ndio alianzisha chuo kikuu cha kwanza duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…