Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Kama unakataa tafsiri ya Qur'an yako basi wewe kichwa chako siyo kizuri. Quran iliandikwa kwa lugha ya kiarabu, there is nothing special about it!
Qur' an sio biblia,Qur'an inabaki katika ligha yake ya asili.Ukiona kwa lugha nyingine yoyote ni tafsiri sio Qur'an.
 
Qur' an sio biblia,Qur'an inabaki katika ligha yake ya asili.Ukiona kwa lugha nyingine yoyote ni tafsiri sio Qur'an.
Uislamu uliliona hili mapema kama ukitafsiri kitu kutoka lugha moja kwenda kwingine,lazima utofauti uwepo,tena mkubwa.Na hii pia ndio sayansi ya lugha iliyopo ndani ya Qur'an.
Biblia ya kiingereza na biblia ya kiswahili haziendani sawa kabisa.Biblia ya kiarabu na biblia ya kiswahili haziendani kabisa.
Biblia ilitafsiriwa kutoka katika ligha ya asili ya kiebrania,ikaletwa kwenye
Kiswahili.Ndio maana kuna maneno mpaka leo ndani bibli yamebaki kama yalivyo kutoka lugha hiyo.Waliojaribu kuyatafsiri.matokeo yake yameleta matusi makubwa.
 
 
1. Sura 54:19 inasema kuwa mji wa Aad uliharibiwa kwa siku moja na sura 69:6,7 inasema kuwa uliharibiwa kwa 'usiku' sita na siku nane (seven nights and eight days). Hapo kuna mkanganyiko au la?
2. Sura 19:17 inaonyesha kuwa malaika alimtokea Mariamu lakini sura 3:42 inasema walikuwa malaika wengi.
3. Sura 28:40 inasema kuwa farao alizama na kufia kwenye maji lakini sura 10:92 inasema kuwa farao huyo alipona.
4. Sura 18:86 inasema kuwa jua huzama kwenye chemchemi ya maji yenye tope. Unadhani hii ni sahihi. Jua lina joto la zaidi ya nyuzijoto 6000 kwenye uso wake. Lakini maji yakifika nyuzijoto 100 yanageuka mvuke. Je, maji yanayotajwa kwenye sura hii ni maji gani? Unadhani ni Mungu aliyeumba jua na maji ndiye anayesema haya?
5. Sura 15:19 inasema kuwa dunia ni bapa kama meza (flat). Kama Mungu ndiye aliumba dunia na ndiye alileta Quran, anaweza kusema jambo kama hili?
6. Sura 86:6,7 inasema kuwa manii ya mwanamume hutokea kati ya uti wa mgongo na mbavu. Hii ni sayansi ya wapi? Ni kutoka kwa Mungu aliyeumba wa mbingu na nchi na uti wa mgongo na mbavu kweli? Kama haitoki kwa Mungu basi hata kitabu chenyewe nacho hakitoki kwa Mungu, au siyo?
7. Sura 19:27,28 inasema kuwa Mariamu alikuwa ni dada wa Haruni. Lakini tangu Haruni aishi ilipita miaka 1300 ndipo alipozaliwa Mariamu. Ni Mungu gani basi anayeweza kusema maneno kama haya?
8. Sura 28:8 inasema kuwa farao na Hamani waliishi wakati mmoja na mahali pamoja. Lakini historia iko wazi kwamba kuna tofauti ya miaka takribani 1000 kati ya watu hawa. Vilevile, farao aliishi Misri wakati Hamani aliishi Uajemi kwenye ngome iliyoitwa Shushani.
 
Sisi tunatumia tafsiri kugundua uowongo wa Qur'an yenu. Hata kama haiendani ukweli utabaki ukweli na uwongo utabaki uwongo. Lugha inatafsiriwa kwenda lugha nyingine ili wengine wa lugha tofauti waelewe. Kama Quran haitafsiri kama mnayodai basi no lugha ya mashetani! Kila lugha duniani inatafsirika!
Endeleeni kufika contradictions zenu, tutachimba mpaka huko Makkah ili ukweli uwe wazi.
 
Yote uliyookopi na kuapaste ni uongo mtupu
1:Qur'an 54:29 Aya inasema
'Hakika tuliwapelekea upepo mkali katika siku ya nuhsi INDELEAYO. "
Nenda kasome kwanza hiyo uone uongo uliokopi na kupaste
 
Ukija Qur'an 19:27
Hivi wewe utakuwa una akili na mzima.Ukisikia Jina la Haruni wajuwa ni jina lina mtu mmoja.Ndani ya biblia kumetajwa Yesu tofauti tofauti,kuna Bari Yesu pia yupo.
Someni acheni kukopi na kupaste
 
Yote uliyookopi na kuapaste ni uongo mtupu
1:Qur'an 54:29 Aya inasema
'Hakika tuliwapelekea upepo mkali katika siku ya nuhsi INDELEAYO. "
Nenda kasome kwanza hiyo uone uongo uliokopi na kupaste
Kuna mahali ame quote hiyo aya "54:29"?
 
Ukija Qur'an 19:27
Hivi wewe utakuwa una akili na mzima.Ukisikia Jina la Haruni wajuwa ni jina lina mtu mmoja.Ndani ya biblia kumetajwa Yesu tofauti tofauti,kuna Bari Yesu pia yupo.
Someni acheni kukopi na kupaste
Bro na kusoma kwangu kote Seminary miaka saba ndo nasikia hiyo ya Yesu zaidi ya mmoja kutajwa kwenye Biblia.. [emoji12]
 
Qur'an 28:8 Inasema
Basi wakamuokota watu wa Firauni.....Bila shaka Firauni na Hamana na majeshi yao walikuwa wenye uovu.
Wapi pameonyesha waliishi wakati mmoja na mji mmoja.
Ni kama kusema Hitler na Mao she tung,walikuwa madikteta.Kinachokusudiwa ni udikteta,hata kama hawakuishi mji wala wakati mmoja.
 
Hapo umewagonga sawasawa sijui watadai tafsiri imekosewa! Kwani wanao tafsiri nani? Si mashehe na maimamu wenu! Hawa jamaa wanafuata Quran ambayo aina logic kabisa. Huyu Allah na nabii wake wababaishaji tu. Na waislamu wengi ni kama vipofu, wanaamini bila kujiuliza kama ni kweli au la! Wape vigongo vyao. Sasahivi hawawezi kusambaza dini yao fake kwa upanga maana mmarekani na muingereza atawashughurikia ipasavyo!
 
Bro na kusoma kwangu kote Seminary miaka saba ndo nasikia hiyo ya Yesu zaidi ya mmoja kutajwa kwenye Biblia.. [emoji12]
Kabla Yesu kuzaliwa jina hili LA Yesu,ni la kiebrania,walikuwako Yesu wengi,kwa kuitwa Yeshua(Jeshua),na mpaka wakati wa Yesu walikuwko.Kwafano Yeshuwa Nun(Yeshuwa wa samaki).
Kulikuwako na Jesus Ben Phap
1 Jesus Ben Sec
2Jesus ben Damneus
3.Jesus Ben Gamael
4.Jesus Ben Sirach
5.Jesus Ben Pandora
6.Jesus Ben Ananias
Soma 2 Corinthians 11 yupo Jesus aliyetajwa na Paulo.
 
Yote uliyookopi na kuapaste ni uongo mtupu
1:Qur'an 54:29 Aya inasema
'Hakika tuliwapelekea upepo mkali katika siku ya nuhsi INDELEAYO. "
Nenda kasome kwanza hiyo uone uongo uliokopi na kupaste
Wewe ndiye muongo siyo Sura 54:29 ni Sura 54:19 inasema tuliwapelekea upepo mkali, katika siku moja ya taabu husiokoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…