Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Hizi zote zimeshajibiwa.Rudi katika nyuzi zilizopita.Acheni kukopi na kupaste.Ikiwa hujui kama kulikuwa na Yesu wengi,na lilikuwa ni Jina lipo kabla hata Yesu hajazaliwa.Na ni jina LA kiebrania.Utajuwa Qur'an onavyosema.Hapo umewagonga sawasawa sijui watadai tafsiri imekosewa! Kwani wanao tafsiri nani? Si mashehe na maimamu wenu! Hawa jamaa wanafuata Quran ambayo aina logic kabisa. Huyu Allah na nabii wake wababaishaji tu. Na waislamu wengi ni kama vipofu, wanaamini bila kujiuliza kama ni kweli au la! Wape vigongo vyao. Sasahivi hawawezi kusambaza dini yao fake kwa upanga maana mmarekani na muingereza atawashughurikia ipasavyo!
Usije kusema Jesus Navas nae alikuwepo!Kabla Yesu kuzaliwa jina hili LA Yesu,ni la kienrania,walikuwako Yesu wengi,kwa kuitwa Yeshua(Jeshua),na mpaka wakati wa Yesu walikuwko.Kwafano Yeshuwa Nun(Yeshuwa wa samaki).
Kulikuwako na Jesus Ben Phap
1 Jesus Ben Sec
2Jesus ben Damneus
3.Jesus Ben Gamael
4.Jesus Ben Sirach
5.Jesus Ben Pandora
6.Jesus Ben Ananias
Soma 2 Corinthians 11 yupo Jesus aliyetajwa na Paulo.
Hakuna neno siku moja,inasomekaBro na kusoma kwangu kote Seminary miaka saba ndo nasikia hiyo ya Yesu zaidi ya mmoja kutajwa kwenye Biblia.. [emoji12]
Wewe ndiye muongo siyo Sura 54:29 ni Sura 54:19 inasema tuliwapelekea upepo mkali, katika siku moja ya taabu husiokoma.
Wacha ujinga weweKabla Yesu kuzaliwa jina hili LA Yesu,ni la kienrania,walikuwako Yesu wengi,kwa kuitwa Yeshua(Jeshua),na mpaka wakati wa Yesu walikuwko.Kwafano Yeshuwa Nun(Yeshuwa wa samaki).
Kulikuwako na Jesus Ben Phap
1 Jesus Ben Sec
2Jesus ben Damneus
3.Jesus Ben Gamael
4.Jesus Ben Sirach
5.Jesus Ben Pandora
6.Jesus Ben Ananias
Soma 2 Corinthians 11 yupo Jesus aliyetajwa na Paulo.
Nenda kasali raka 5 na ukumbuke kuamka Saa 10 za usiku siyo kushinda kwenye ubishi.Kweni umebebewa upanga!hii mijadala ni muhimu soma jenga hoja.
Sina time ya kurudi nyuma mimi nasonga mbele kwa mbele.Hizi zote zimeshajibiwa.Rudi katika nyuzi zilizopita.Acheni kukopi na kupaste.Ikiwa hujui kama kulikuwa na Yesu wengi,na lilikuwa ni Jina lipo kabla hata Yesu hajazaliwa.Na ni jina LA kiebrania.Utajuwa Qur'an onavyosema.
Mbona matusi ndugu yangu?, umeniona wapi mimi nimetukana mtu humu? Uwe mstaarabu basi, humu tunashindana kwa hoja kakaMjinga na mpuuzi wewe tena lofa kabisa Kila kilichopo ndani ya kuraani wana sayansi wameona hakina shaka wala wasiwasi na ndio maana kila wanachogundua kipo ndani ya kuraani unachobisha ni ujinga
Ulishawahi kuzitafuta gramatical, historical na scientific Errors zilizopo kwenye Quran?wewe ndo hoax huna hoja kaa kimya una hoja ilete usilete maneno yako ya chuki binafsi kisa umeona wonders, kitabu chenu kina errors za kila namna unaleta porojo unakurupuka sijui umetumwa.
1. Seven heavens-Mbingu kweli saba
2. Worm holes
3. Sea's can seperated and No light down there
4. Bigbang and bing crunch
5. Singularity
6. Black holes
7. Dark matter
8. Gravity
9. Human embrology
10. expanding of the universe
11. Time is relative
12. nerves in skin
13. ice in coments
14. seas
Huyu ni mtume, wote wana science wamekuja kujua kipindi hiki yote hayo.
Mfano wa maji ya chumvi na matamu aya changanyikani, quran 25.53: And He it is Who has made two seas to flow freely, the one sweet that subdues thirst by its sweetness, and the other salt that burns by its saltness; and between the two He has made a barrier and inviolable obstruction.
Kila aya ndani ya Qur'an ina sababu ya kuweko kwake(sabab Nuzul).1. Sura Al-Baqara 2:109
Many of the People of the Book wish, through envy, to lead you back to unbelief, now that you have embraced the faith and the truth has been made plain to them. Forgive them and bear with them until Allah makes known His will. He has power over all things.
Hapa quran inaongelea watu wa kitabu (yaani Wakristo), na kusema:
Wengi wa watu wa kitabu, kutokana na wivu wao, wanatamani kuwarudisheni kwenye kutoamini baada ya kuwa mmeamini, pamoja na kwamba ukweli umeshadhihirishwa wazi mbele yao. Kwa hiyo wasameheni na kuwavumilia hadi Allah atakapowafunulia mapenzi yake. Yeye ana nguvu juu ya kila kitu.
Quran pia inawaagiza Waislamu katika sura Al Imran 3:20 kwamba:
... if they give no heed, then your only duty is to warn them.
Yaani:
... kama wasipowasikiliza, basi ninyi kazi yenu pekee ni kuwaonya tu.
Kwa hiyo, kutokana na aya hizi mbili, yaani Al-Baqara 2:109 na Al Imran 3:20, tunaona mambo yafuatayo:
1.Ni wajibu wa Waislamu kuhubiri dini yao lakini si wajibu wao kuwalazimisha watu kuamini dini yao.
2.Allah kwa wakati wake atawafunulia wale wasioamini ukweli wa mambo.
3.Ni wajibu wa Waislamu kutoa maonyo tu kwa wale wanaowahubiria.
LAKINI, HEBU TAZAMA AYA ZIFUATAZO:
Al-Nisa 4:101
The unbelievers are your sworn enemies.
Yaani,
Wale wasioamini ni maadui zenu wakubwa.
Vilevile inasema katika sura Al-Tawba 9:3
Proclaim a woeful punishment to the unbelievers.
Yaani:
Tangazeni mapigo makuu (ya ole) kwa wasioamini.
Pia quran inasema katika sura Al-Anfal 8:39
Make war on them until persecution is no more and Allah’s religion reigns supreme.
Yaani:
Fanyeni vita juu yao hadi kusiwepo na mateso tena na hadi pale dini ya Allah itakapokuwa imetawala.
Maswali:
1. Je, aliyempa mtume maneno ya 2:109, 3:20 na yale ya 4:101, 9:3, 8:39 ni huyo huyo au ni wawili tofauti?
2. Iweje aseme kuwa usiwalazimishe watu kuamini bali waonyeni na kuwavumilia tu, kisha anageuka sehemu nyingine na kusema walazimisheni, tena kwa vita?
3. au usahaulifu pia ni sifa sawa na kutokujua kusoma na kuandika.
Swala la seven heavens dini nyingi zimekuwa zikiamini hivyo kabla hata Qur'an. Kwa mfano katika Hinduism, Judaism na Wababiloni walikuwa wana amini imani ya kuwepo seven heavens, kwahiyo hamna jipya! Waislamu mnataka credit ya Qur'an yenu iyonekane scientific kwa kukopy and paste imani za wengine. Kwanza science haijathibitisha kwamba kuna mbingu saba.1. Seven heavens-Mbingu kweli saba
2. Worm holes
3. Sea's can seperated and No light down there
4. Bigbang and bing crunch
5. Singularity
6. Black holes
7. Dark matter
8. Gravity
9. Human embrology
10. expanding of the universe
11. Time is relative
12. nerves in skin
13. ice in coments
14. seas
Huyu ni mtume, wote wana science wamekuja kujua kipindi hiki yote hayo.
Allah na Nabii wake wanaji contradict wenyewe ile mbaya. Yes hiwe yes na no hiwe no! Siyo kigeugeu. Haiwezekani Mungu na nabii wake wanajigonga gonga na kujipinga katika kauli zao. Hizi dini za uwongo Mungu wa kweli ataziangamiza, nyinyi waislamu salini sala zenu za kurudia rudia raka 5 lakini mtamtambua Yesu Kristo mwana wa Mungu wa pekee sio Muhammad.1. Sura Al-Baqara 2:109
Many of the People of the Book wish, through envy, to lead you back to unbelief, now that you have embraced the faith and the truth has been made plain to them. Forgive them and bear with them until Allah makes known His will. He has power over all things.
Hapa quran inaongelea watu wa kitabu (yaani Wakristo), na kusema:
Wengi wa watu wa kitabu, kutokana na wivu wao, wanatamani kuwarudisheni kwenye kutoamini baada ya kuwa mmeamini, pamoja na kwamba ukweli umeshadhihirishwa wazi mbele yao. Kwa hiyo wasameheni na kuwavumilia hadi Allah atakapowafunulia mapenzi yake. Yeye ana nguvu juu ya kila kitu.
Quran pia inawaagiza Waislamu katika sura Al Imran 3:20 kwamba:
... if they give no heed, then your only duty is to warn them.
Yaani:
... kama wasipowasikiliza, basi ninyi kazi yenu pekee ni kuwaonya tu.
Kwa hiyo, kutokana na aya hizi mbili, yaani Al-Baqara 2:109 na Al Imran 3:20, tunaona mambo yafuatayo:
1.Ni wajibu wa Waislamu kuhubiri dini yao lakini si wajibu wao kuwalazimisha watu kuamini dini yao.
2.Allah kwa wakati wake atawafunulia wale wasioamini ukweli wa mambo.
3.Ni wajibu wa Waislamu kutoa maonyo tu kwa wale wanaowahubiria.
LAKINI, HEBU TAZAMA AYA ZIFUATAZO:
Al-Nisa 4:101
The unbelievers are your sworn enemies.
Yaani,
Wale wasioamini ni maadui zenu wakubwa.
Vilevile inasema katika sura Al-Tawba 9:3
Proclaim a woeful punishment to the unbelievers.
Yaani:
Tangazeni mapigo makuu (ya ole) kwa wasioamini.
Pia quran inasema katika sura Al-Anfal 8:39
Make war on them until persecution is no more and Allah’s religion reigns supreme.
Yaani:
Fanyeni vita juu yao hadi kusiwepo na mateso tena na hadi pale dini ya Allah itakapokuwa imetawala.
Maswali:
1. Je, aliyempa mtume maneno ya 2:109, 3:20 na yale ya 4:101, 9:3, 8:39 ni huyo huyo au ni wawili tofauti?
2. Iweje aseme kuwa usiwalazimishe watu kuamini bali waonyeni na kuwavumilia tu, kisha anageuka sehemu nyingine na kusema walazimisheni, tena kwa vita?
3. au usahaulifu pia ni sifa sawa na kutokujua kusoma na kuandika.
Naelewa mkuu kwamba Allah ndiye alituma Quran kwa nabii wake Muhammad swalallah huwalei wasallam. Ni kweli mwanasayansi mkuu ni Allah ndiye anawachanganya ndugu zetu waislamu! Labda atawaletea wahi kwa mtume mwingine ampendaye kuweka sayansi sawa.Mkuu Kuna kitu nadhani hujaelewa, Qur'an haijatungwa na Mtume.. mtume kashushiwa Tu. So huyo aliemshushia hayo mawazo ya kisayansi ndie mwanasayansi Mkuu.. Mtume alikua Ni messenger Tu.
Toa ushahidi wa aya kutoka katika vitabu hivyo unavyovitaja.Tunakwenda kwa mandiko,sio utoe kichwani kwako.Swala la seven heavens dini nyingi zimekuwa zikiamini hivyo kabla hata Qur'an. Kwa mfano katika Hinduism, Judaism na Wababiloni walikuwa wana amini imani ya kuwepo seven heavens, kwahiyo hamna jipya! Waislamu mnataka credit ya Qur'an yenu iyonekane scientific kwa kukopy and paste imani za wengine. Kwanza science haijathibitisha kwamba kuna mbingu saba.