Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Ibrahimu sio Yahud,kumbe wakristo hivi mnaposema Ibrahim ni baba wa Imani wajuwa ni Yahud?Ibrahim kazaliwa Iraq,mwarabu,alikwenda Palestina ,na baadaye Misri.Someni mpate maarifa.

Je mnakubali Yesu na Muhammad wote ni mitume?
 
Ndio mnavyojipotosha?, iweje Isihaka, Jackob na wanae 12, Daudi wawe Wayahudi-Waebrania huku babu yao Ibrahimu awe Mwarabu?
 
Je mnakubali Yesu na Muhammad wote ni mitume?
Kisoda 2,lazima ujuwe kuna dini tatu zinaitwa Abrahmic Religions .Yaani hizo dini zinafuata mambo ya kiimani kutoka kwa Ibrahim,yaani wanafuata mila za Nabii Ibrahim,kwa hiyo lazima ujuwe hapo mwanzo palikuwa na dini moja kati ya hizo dini.Dini ilikuwa moja,walianza kutofautiana baada kugawanyika makundi ya kukataa Manabii waliofuatia baadaye.Dini hizo tatu zinafanana kwa kukubali Mitume waliyopita wako sawa,ukiangalia wote wanaamini
1.Daud kapewa kitabu Zaburi
2.Taurat kapewa Musa
Mgawanyiko umekuja kwa Yesu aliyepewa Injili,katika hiyo dini,kundi likamkataa Yesu,wao wakabaki kumuamini Musa na Taurat,mpaka Leo wanafuata Taurat,hao wakajiita Wayahud,wakaanzisha kundi lao,likabaki kundi linalomuamini Yesu,wakaitwa wakristo baada ya kufa ya Yesu,hili kundi la pili,alipokuja Mtume Muhammad hawakumuamini,wakabaki wanamuamini Yesu.Kundi la tatu wao waliendelea kumuamini Nabii Musa,akaja Yesu wakamuamini,alipokuja Nabii Muhaamadi wakamuamini,ndilo waislamu.
1.Kwa hiyo waligawanyika kuamini Manabii waliokuja baadaye lakini walibaki kufuata mila za Nabii Ibrahim(kama huko kutahiriwa,kunyoa nyele za kwapani,nyele za siri,nk)
2.Mtume aliyeanza kukataliwa Yesu,walimkataa Wayahud,hawakufuata kitabu cha Yesu cha Injili wala kumtambua.
2.Mtume aliyefuata kukataliwa ni Mtume Muhammad,akakubaliwa na kundi waliomkubali Yesu,kwa kundi hili kutoa ushahidi ndani ya Injili kama Yesu,alishamtabiri,kama akiondoka atakuja Mtume baada yangu,na akataja sifa atakazokuwa nazo(zingatia utabiri huo uko kwenye Injili sio Biblia).
Kwa hiyo hawa waislamu hawakumkataa Yesu,na alipokuja Mtume Muhammad,pia hawakukataa.
3.Miongoni mwa utabiri wa Yesu kwa Mtume Muhammad ni kuwa atamsifu na kumkubali Yesu.Na ndivyo alivyofanya Mtume Muhammad.
 
Ndio mnavyojipotosha?, iweje Isihaka, Jackob na wanae 12, Daudi wawe Wayahudi-Waebrania huku babu yao Ibrahimu awe Mwarabu?
Nchi za mashariki ya kati zinafanana kidogo katika mambo ya kikabila katika Afrika,kwa mfano unaweza ukakuta kwetu Tanzania,wapo wachaga,lakini wanatofautiana kuna wachaga wa koo tofauti,sisi tukiwaona wore ni wachaga,na hata wamasai ni hivyo hivyo,wasomali,na ndio makabila haya ya kiafrika yanahesabika sio wabantu,ni makabila yanayotoka pembe ya Afrika,karibu na nchi za mashariki ya kati kama Ethiopia,Somalia,Eriteria nk.
 
lete aya inayosema alitahiriwa.
Ninakuambia waislamu wanafuata mila za nabii Ibrahim,ufahamu kila cha Nabii Ibrahim kinafanyika.
"Na wakasema:Kuweni Mayahudi au Manaswara ndio mtaongoka,Sema:Bali (tunashika)MILA YA IBRAHIM Mongofu,wala hakuwa katika washirikina."
Qur'an 135


"Semeni:Tumemwamini Mwenyezi Mungu na yale tulioteremshiwa na yale yaliotetemshwa kwa IBRAHIM na Ismail, na Is hak na Yaqub na wajukuu na waliopewa Manabii (wengine)kutoka kwa Mola wao;hatutofautishi baina ya yoyote katika hao na sisi tumesilimu(tumenyenyekea)kwake."Qur'an 138
 
Ingawa nimezaliwa mkristo Na natambulika hvo ila hamna dini ambayo imeonyesha hekima Na maarifa kama uislamu kuanzia uumbaji wa ulimwengu kila kitu kiko accurate kabisa
 
Hujui unenalo, allah akuongoze.hata japo kwa elimu ya dunia tu,au hata somo moja la "trans atlantic slave trade".halafu ufunge kalomo kako.ukatumie kwa kumsabihi mwenyezi.
 
Tatizo lako uelewa mdogo,nimekuambia ktahiri kumeanza toka wakati wa Ibrahim.Ibrahim alizaliwa Iraq,Iraq ni nchi ya kiarabu.Miaka 8000 iliyopita ndio alizaliwa.Wewe wafikiri Ibrahim alikuwa Myahud?Ibrahim alizaliwa Iraq na aliishi Iraq.
Mimi naulewa mkubwa kuliko wewe. Ndiyo alipozaliwa Ibrahim ndipo panaitwa Iraq kwa sasa baada ya waarabu kuvamia. Kabla ya hapo hakuitwa Iraq wala Uarabuni. Ibrahim alizaliwa Babylon Chaldea mji wa Ur, karibu na Euphrates na Tigris rivers.

Mwa11:31 Baada ya hapo Tera akamchukua mwana wake Abramu, na mjukuu wake Loti, mwana wa Harani, na binti-mkwe wake Sarai, mke wa mwana wake Abramu, nao wakaondoka Uru la Wakaldayo pamoja naye ili kwenda katika nchi ya Kanaani. Baadaye wakaja Harani na kukaa huko.

Mwa 15:7 Ndipo akaongeza kumwambia: “Mimi ni Yehova, niliyekutoa katika Uru la Wakaldayo ili nikupe nchi hii uirithi.”

Hayo maandiko juu ndiyo historia ya kweli siyo Quran yenu.
 
Hujui unenalo, allah akuongoze.hata japo kwa elimu ya dunia tu,au hata somo moja la "trans atlantic slave trade".halafu ufunge kalomo kako.ukatumie kwa kumsabihi mwenyezi.
Wewe kweli bweha! Unamjua Tiptip? Unafikiri wanzanzibari na wapemba no descendants wa nani? Nenda bagamoyo na unguja uone historia ya waarabu waislamu walivyotesa ndugu zetu weusi!
Na wengi weusi waliuzwa uarabuni na kuvunjwa pumbu zao wasitembee na wanawake wakiarabu. Nenda kama utaona descendants wa slaves uarabuni! Waarabu waislamu ndiyo walikuwa washiriki wakubwa wa slave trade. Wacha pumba na ushabiki.
 
Hujui unenalo, allah akuongoze.hata japo kwa elimu ya dunia tu,au hata somo moja la "trans atlantic slave trade".halafu ufunge kalomo kako.ukatumie kwa kumsabihi mwenyezi.
Allah wako hana uwezo wowote zaidi ya uchagi na mauaji ya innocent people. Kiboko ya Allah ni Jehovah na mwanaye Jesus Christ. Jesus kwanza yuko hai mbinguni wakati Muhammad wenu alishakufa na mifupa yake iko Makkah mnaenda kuabudu kila hijja. Kwahiyo wewe ndiyo ufunge kalomo kako siyo mimi.
 
Tibia hawajui hao
 
Astaghfirullaah, hivi mbona unakuja na matusi dhidi ya hoja,mbona unapoteza mjadala.kuna wasomaji wengi hapa.
 
Hakuna uvamizi wala mini,Ibrahim hakuwa myahudi,na hawezi kuwa myahudi,kwa sababu Uyahud ni dini sio kabila,lazima uelewe.Iraq ni nchi toka zamani,tizama ramani vizuri.Uyahudi hakuwapo wakati wa Ibrahimu.
 
Ukiona mtu anajibu kama wewe unavyojibu,ujuwe umeishiwa hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…