Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

hahaha bibilia hippi agano la kale au la sasa? maana mna vitabu vingi kila kukicha mna edit, Quran tangu 1400 iko vile vile na vitu vingi vimekua proved scientifically. basi hata bible ime copy kwenye vitabu vya nyuma
 
Anza kwa kunielezea kuhusu embryology. Miaka ya nyuma kabla ya mtume (S.A.W) sayansi yake ilikuwa inasemaje??
 


Utanielewa tu, kabla ya Kitabu chako hakijaelezea habari za Malaika, Waegypt walikuwa tayari wana hizo myth, Kumbuka ni zaidi ya Miaka 6000 Kabla Muhamad na Quran

[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapa naanza kukuelewa vizuri akili yako .........m
 
Anza kwa kunielezea kuhusu embryology. Miaka ya nyuma kabla ya mtume (S.A.W) sayansi yake ilikuwa inasemaje??
Wewe ni ngumu kuelewa dababu umekaa zaidi kiimani na si ki_fact Ungekuwa sio mshabiki wa upande fulani Ungeelewa vizuri kuwa mambo hayo yote yalishakuwako kabla ya Hiyo miaka 1400 kutoka kwa mababu weusi wa Misri, Israel na Ugiriki! Si jambo hata la kukaa na kuanza kubishana hapa. Soma vitabu vyote usisome kimoja.
 
Anza kwa kunielezea kuhusu embryology. Miaka ya nyuma kabla ya mtume (S.A.W) sayansi yake ilikuwa inasemaje??
Sasa mzee kama Huna Data zote za Nyuma ya Mtume, Utawezaje kuthibitisha kuwa yote hiyo ni kazi yake, Nakupa Muda "soma" Mythology za Eghypt, na Greece Unaweza kuona hayo yote uliyoyaongea hapo kama ni marudio tu Ambayo yalishafanywa miaka elfu na elfu iliyopita na wakongwe wa zamani.
 
Mtume mpaka wanja wa manga..
Fala tu huyo alikopi na kupaste kutoka vitabu vya biblia na riwaya za kiyunani huyo korombwe
 
Alikua mtume kajua kutoka kwa Mungu wake aliokua akimuongoza na mengine alikua akiyaona njiani mfano safari ya miraaji alitumia wormholes, alipita mbingu zote saba na kadhalika
hizo mbingu saba ni zipi mkuu
nipe ushahidi wa black holes kwenye quran naona unatupiga chenga tu
 
Nafikiri huu mjadala wewe haukufai. Huu si mjadala wa dini. Hapa zinaongelewa zaidi Fact na siyo Imani. Webye imani zenu nendeni kwenye malumbano ya dini zenu huko.

Hapa hatujali wewe Mkristo au Muislaam. Tunaangalia kilichokuwepo kabla na baada ya Mitume yaani Yesu Kristo na Mtume Muhhamad SAW.
Mtume mpaka wanja wa manga..
Fala tu huyo alikopi na kupaste kutoka vitabu vya biblia na riwaya za kiyunani huyo korombwe
 
Nadhani ungetumia lugha nyepesi kama aliyotumia mkuu kituko ningekuelewa pia. Anyway, hiyo kiraza naiweza itafasiri kama ******?.
 
Asante mkuu nimelifuatilia bandiko lako na link uliyonipa. Nimelazimika kuchimba mambo kadhaa na kugundua kuwa hinduism inakuwa termed as oldest religion on earth nadhani wanatumia kigezo kuwa ukristo ulianzishwa baada ya kuja yesu na uislam umeanzishwa na muhammad miaka takribani 600 baadae wakati huo hinduism ilikuwa hata kabla ya kristo.

Inasemekana kwamba hinduism ilianza wakati wa zama za chuma "iron age". Nikitumia quran kama reference yenyewe inaonyesha kuwa chuma kilianza kutumika enzi za nuhu A.S(kama sijakosea) ambaye hata yeye pia habari zake zinapatikana katika quran. Huoni kama kuna uwezekano kuwa embryology ilifahamika mapema hata huko mashariki ya kati?.

Pia naomba nikukumbushe kuwa quran ni muunganiko wa vitabu vi4 ambavyo ni injili, taurati, zaburi na furqan hivyo muingiliano wa maandiko kutoka kwenye moja wapo ya hivyo vitabu vi4 hapo juu usikukanganye. ALAMSIKI
 
acheni kupiga dana dana tuwekeeni vifungu vya quran vinavyozungumzia hivyo vitu.
Kumbe taahira na yy anjuaga kusoma [emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
 
True very very true kwanza angetakiwa ajue kwamba uislam ulianza c baada ya muhammad bali ulianza na adamu mtume wa kwanza
 
Mtume mpaka wanja wa manga..
Fala tu huyo alikopi na kupaste kutoka vitabu vya biblia na riwaya za kiyunani huyo korombwe
Kwa m2 mwenye hekima asingeongea haya [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Mtume mpaka wanja wa manga..
Fala tu huyo alikopi na kupaste kutoka vitabu vya biblia na riwaya za kiyunani huyo korombwe
HUNA ADABU WE! NDIO YESU KAKUFUNDISHA KAULI HIZI KWA WALE WANAOKUZIDI KATIKA JAMII. KUWA NA ADABU KAMA HUWEZI KUJIZUIA KAA KIMYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…