Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

sasa huoni kama hayo maandishi yalikuwepo baada ya Musa na miaka mingi kupita, ingekuwa ina maana kama yangeandikwa kabla ya Musa kuja
 
sasa huoni kama hayo maandishi yalikuwepo baada ya Musa na miaka mingi kupita, ingekuwa ina maana kama yangeandikwa kabla ya Musa kuja
Hujailewa challenge yangu. Ili ku disprove fact hiyo jaribu kudestroy huo mwili.
Ohh na ukitaka vitu vilivyotabiriwa kabla na vimegundulika hivi karibubi mbona viko vingi tu .Anza na the Big Bang Theory. Wameigundua juzi juzi tu lakini Quraan imesema over 1400 years.
 
siku wakiprove kuwa hakuna singularity, blackholes, wormholes na big bang sijui utaficha wapi uso. maana hizo zote hazina uthibitisho.
 
Mzee mimi sipo kwenye hii maada kiimani! nipo Hihistoria! Ni Prove gani aliyoitoa mtoa maada kimaandiko, Ameulizwa hapa alete kifungu kinachozungumzia Blackhole kwenye maandiko tuone!
Kuamini sio lazima kiwe kitabu cha dini,kitabu chochote unachokiamini wewe,ikiwa ni cha history,jeogradia,fizikia,kemia nk
 
Black hole aya hio hapo, (At-Takwir: 15-19) [So verily, I swear by the stars that are veiled . And by the (sweeping ) stars that move swiftly and hide themselves. And by the night as it departs; And by the dawn as it brightens; hio ndo Quran alio shushiwa mtume amani iwe ju yake kwa kupitia malaika Jibriel nyie mna mwita Gabriel
hio alama nyekundu ndo sifa za blackhole ikiwa space.
 
uthibitisho upo kaka na wala sito uficha uso
 
io ni miujiza ya Mungu mkuu ye nod mwenye ulimwengu
sio kawaida kabisa ni miujiza yeye mwenyewe kasema kwenye aya zake “We will show them Our Signs in the universe, and in their own selves, until it becomes manifest to them that this (the Quran) is the truth”
 
“We will show them Our Signs in the universe, and in their own selves, until it becomes manifest to them that this (the Quran) is the truth”
 
Kwa m2 mwenye hekima asingeongea haya [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
wewe muache hana hekima huyu, watu tuna bishana na facts unakurupuka kama umetoka kulala. sio kosa lake kuto kufahamu tuh
 
Dah Black holes!! Katisha sana hahahaa
ushaidi nimetoa wewe umeona black holes wormholes unazijua wewe? mbona na mengine ulizi? ebu acha uvivu soma thread yote vizuri utaona wezanko wameuliza the same na wamejibiwa na aya wamepewa
 
Naona kama ka-ukweli hivi
 
siku wakiprove kuwa hakuna singularity, blackholes, wormholes na big bang sijui utaficha wapi uso. maana hizo zote hazina uthibitisho.
Tusubirie hiyo siku. Nadhani Yesu atarudi bado hawaja dissprove. Ila kwenye bible wameshadisprove vingi tu [emoji23]
 
Tusubirie hiyo siku. Nadhani Yesu atarudi bado hawaja dissprove. Ila kwenye bible wameshadisprove vingi tu [emoji23]
Bible enyewe ina makosa kibao hadi basi na bible imekua proved wrong saana. bible enyewe ilikua ile angano la kwanza tena ile kidogo maana ilitiwa maneno ya watu.
 
Msipende kudanganya watu n'a uvivu wa kusoma vitabu vingne, science n'a technologie vlikuwepo even before Christ
 
Thread za udini humu ndani zimezidi hasa za Islams sijuw kwann mtu amesoma kitabu kmoja anajkuta anajua anapost bila aibu n'a kufkir, fanya research uone hata kabla ya Christ vlikuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…