Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
still, tanzania sheria haziruhusu utoaji wa mimba na ndio maana vidonge hivyo huuzwa kwa kificho na bei ya juu ukilinganisha kama una prescription ya ulcers
Jambo la kutoa mimba ni dhambi kubwa sana mbele za Mungu, pia kutoa mimba kunaweza kumgharimu mtu sana ktk maisha yake na hata kuhatarisha ndoa yake pale anapoolewa, mimi ni victim wa jambo hili kwani niko kwenye ndoa sasa kwa miaka 12 NO ISSUE, hospital nimeambiwa ni hormonal imbalance na ovarian cyst nimetumia dawa sana lakini imeshindika, pia nimewahi kufanyiwa operation ya fibroid nayo imeshindikana, kwa sasa natafuta REHEMA ZA MUNGU TU ili nami nipate watoto ambao zamani niliona siwahitaji na kuwaua kwa kutoa mimba. Nawashauri wasichana wote msiharibu ujana wenu ili kuepuka hiki ninachopitia mimi
maelezo yako yatasaidia wengine wanaotamani kufanya mchezo huu mchafu wa kinyama. Hata wewe dada usikate tamaa rehema za Mungu ni nyingi mno...neno linasema ".......kwa kuwa Mungu hatamtesa mtu hata milele ajapomhuzunisha atamfurahisha kwa wingi wa huruma zake" iko siku atakukumbuka utafurahi.
Mkuu.@Nyakwaratony Mimi pia ninachukia akina dada zetu kutoa mimba hata katika Vitabu vya dini zote mbili kubwa Dini ya Kiislam na ya Kikristo imekatazwa suala la Mwanamke utoaji mimba mimi ninapiga vita sana hilo jambo sijuwi kwa wenzangu mnasemaje?