Vipi nasikia wameonywa leo hakuna penalty wala red card wacheze mpira..Yangu macho

Vipi nasikia wameonywa leo hakuna penalty wala red card wacheze mpira..Yangu macho

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Habari ndogondogo zinasema wana Msimbazi wameonywa WACHEZE MPIRA wasitegeemee penalty Wala red card Leo

Kelele zimekutwa nyingi sana

Nasubiri kuona
 
Wameonya na nani, wapi na jwaajili gani?
 
Habari ndogondogo zinasema wah WA MSIMBAZI wameonywa WACHEZE MPIRA wasitegeemee penalty Wala redkad Leo


Kelele zimekutwa nyingi sana

Nasubiri kuona
KO hata ikiwa penalty halali... Na red card halali zisitoke!??? Basi wachezaji wajisimamie wao leo wenyewe... Mfyuuuu akili mbovu mnoo hii
 
1.Jitahidini kuupenda mpira na sio timu.

2.Jitahidini kuungalia mpira kiufundi.

3.Punguzeni ushabiki maandazi.

Mpira ni burudani sio ugomvi.
 
Acheni uzwazwa yani sheria zisifuatwe kisa kelele za vyura...
 
Long life Jamii Forum.

Jukwaa lilikuwa na watu wa maana sana.

Inasikitisha sana!!!!!!!!!
 
Tff wamebalansi ligi kwa kuweka refa bora Arajiga na matokeo halisi ya kolowizard yameonekana leo, uwezo wao ni droo tu, na hapa ndo simba washapotea tarehe 8 watakula khamsa kama kawa na kukata tamaa, dhulma huwa haina faida.

Ila mimi Yanga damu ila Kibu Denis ni mchezaji haswa huyu kijana ni wa kufanyia umafia aje jangwani , hakuna jinsi mchezaji bora anafaa kucheza timu bora sio kolo mipango! Hersi chukua kipaji hicho na kuibomoa kabisa Simba , pale kolokoloni mchezaji mmoja tu Kibu, ili tutawale kwa miaka mingi tuchukue Kibu, leo kakiwasha mno.

Kipindi cha pili upande wa Mohamed Hussein kulikuwa na gepu kubwa Azam hawakutumia vizuri , Tshabalala hakuwa na msaidizi tarehe 8 Yanga tupitie huko.
 
Hahahahahaa
Respect arajiga
 
Back
Top Bottom