Nina mpenzi wangu mmoja ambaye nimekaa naye takribani miaka miwili. Mpenzi huyu pamoja na kukaa naye muda ule, ukweli ni kwamba simpendi na yeye ni king'ang'anizi kiasi kwamba nashindwa kupumua. Nitumie njia zipi ili tuachane bila lawama? Nisaidieni jamani.

Wewe inaonyesha mpenzi mmoja hakufai, lazima uwe nao wengi.Nina mpenzi wangu mmoja ambaye nimekaa naye takribani miaka miwili. Mpenzi huyu pamoja na kukaa naye muda ule, ukweli ni kwamba simpendi na yeye ni king'ang'anizi kiasi kwamba nashindwa kupumua. Nitumie njia zipi ili tuachane bila lawama? Nisaidieni jamani.