Vipi polisi na familia zao nao wakaanza kutekwa huku mtaani?

Vipi polisi na familia zao nao wakaanza kutekwa huku mtaani?

Skythelimit

Member
Joined
Jul 19, 2023
Posts
61
Reaction score
133
Yaani polisi wa Tanzania nawashangaa sana, ripoti ya CAG kila mwaka inataja wezi na wabadhirifu wa mali za umma ambao wengi wao ni watumishi wa serikali lakini hata siku moja polisi wetu hawa wenye ueledi huwezi ona wanaenda kushika wezi na hao mafisadi.
Wizi na ufisadi wa mabilioni katika taifa hili unapelekea hasara kama:
  1. Vifo vya watanzania ambao wanakosa huduma muhimu kutokana na ufisadi huo. Fikiria wagonjwa wanapokosa huduma na madawa hospitalini kutokana na ufisadi unaoendelea kila siku hapa Tanzania ni kwa namna gani watanzania.
  2. Ajali barabarani kutokana ufisadi wa kupelekea, ukamilifu wa viwango hafifu wa ujenzi wa barabara zetu.
  3. Hasara zipo nyingi ila hizo ni baadhi ambazo kama tuna polisi wenye uchungu na nchi yao lazima washike waarifu hao ili kwenda kuwajibishwa mahakamani.
Lakini kwa kuwa jeshi letu limeaamua kuwatumikia wana siasa wameamua kukaa mbali kabisa na mambo kama hayo ambayo ndiyo msingi wa ukuzaji uchumi na ustawi wa watanganyika.

Hivi mimi najiuliza, kama sisi wananchi na sisi tukiamua kufanya umafia kama mnaotufanyia watanganyika wenzenu wa kuwapoteza mtaani kweli kazi yenu hiyo itakuwa na amani?

Ninyi polisi tunaishi na nyinyi huku mtaani, familia zenu hadi watoto wenu tunawajua tunaishi nao huku mtaani, hivi na sisi wananchi tukianza kuwateka mmoja mmoja wenu na kuwapoteza mtakuwa na hali gani?

Hivi utajisikiaje wewe umeenda kushika watanganyika wenzako kama Tundu Lissu, halafu taarifa inakufikia kwamba MKE WAKO NA MWANAO KIPENZI na wao wametekwa na wananchi kwa lengo la kulipa kisasi uasi wako?

Polisi nyie ni watanzania wenzetu msipandikize roho ya chuki miongoni mwa raia na ninyi kisa mnataka kuwafurahisha wanasiasa ambao wao wanajilimbikizia mali kwa wizi na ufisadi huku wewe maisha yako yakibaki vile vile ya kimaskini huku imejijengea bifu na wananchi wenzako ambao kwa hali yoyote utarudi kuishi nao mara baada ya kustaafu utumishi wako.

Itakuwaje kama wananchi nao wakaanza kuwateka mmoja mmoja au kuteka familia zenu kwa sababu mnaishi katika jamii inayowafahamu vyema?
 
Police CCM ,kumanishaa police n walinzi wa wezi waliopo CCM na si kutetea raia Wala kuwalindaa..

Bado km taifa tunasafari ndefu....
 
Yaani polisi wa Tanzania nawashangaa sana, ripoti ya CAG kila mwaka inataja wezi na wabadhirifu wa mali za umma ambao wengi wao ni watumishi wa serikali lakini hata siku moja polisi wetu hawa wenye ueledi huwezi ona wanaenda kushika wezi na hao mafisad...
Comments reserved
 
Yaani polisi wa Tanzania nawashangaa sana, ripoti ya CAG kila mwaka inataja wezi na wabadhirifu wa mali za umma ambao wengi wao ni watumishi wa serikali lakini hata siku moja polisi wetu hawa wenye ueledi huwezi ona wanaenda kushika wezi na hao mafisadi...
Itapendeza asee
 
Back
Top Bottom