Keynes JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 533 Reaction score 90 Nov 2, 2010 #1 Jamani naombeni taarifa kama kuna mtu mwenye data kama huyu mama kashinda maana bado tunamhitaji bungeni hata kama ni wa kijani
Jamani naombeni taarifa kama kuna mtu mwenye data kama huyu mama kashinda maana bado tunamhitaji bungeni hata kama ni wa kijani
Bantugbro JF-Expert Member Joined Feb 22, 2009 Posts 4,473 Reaction score 4,252 Nov 2, 2010 #2 Alishajishindiaga matokeo yalishatoka mchana!