Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
swali zuri sana hilo..wengi tunataka kujuaNimeuliza kwasababu nilifanya applications na mpaka sasa sijaona taarifa zozote kuhusu selectiona zao. Kama kuna mwenye taarifa za lini yanaweza toka,kwasababu muda wa kwenda chuo najua unaanzaga july.
subiri watatangaza kiherehere cha nini?
sio kiherehere,hali ya tcu we mwenyewe siunaiona? Ndo maana nimeshaanza kutazama alternative 2. Alafu isitoshe JF ni chanzo cha habari kwangu,kama wewe haufahamu kitu kuhusu nilichouliza,ni bora ungekaa kimya ili wanaojua waseme.