hop mtakubaliana na mimi kuwa suprise ya kumtembelea mpenzi wako bila kumwambia ni nzuri kwa mpenzi wako ila inaweza zua balaa pia., utafanya nini utakapofunga safari na ukamfumania mpenzi wako ready handed!lets say mnakaa mikoa tofauti
Kwani lengo la surprise lilikuwa nini? si tayari na wewe umefanyiwa surprise kwa kuwa umeingia kimyakimya hivyo hakuna kingine zaidi ya kujiuliza kwanini kimekutokea ili ujue tatizo ni nini kesho na keshokutwa tatizo lisirudie either kwa mpenzi wako huyo kama umemsamehe au kama utakuwa kwenye mahusiano mapya.