Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Haha these witchdoctors are crazy like seriously...
Unapata poster imeandikwa ati mganga kutoka Dodoma. Tunatubu magonjwa kama: landlord kusahau rent
Duh! Huyu mganga ako wapi walahi? Huyo naweza tafuta services zake sana!
Lol! Tanzania sasa imekuwa no go zone kwa zeruzeru, wakongwe, wenye upara, wakenya.
Soon hata wazungu wataanza kukoma kuenda huko zeruzeru wakimalizwa, itakuwa zamu yao.
Mtz akikuita wewe mkenya hivi hivi ati kuna dili sijui Loliondo huko, fikiria mara mbili.
Afadhali usije huku mkuu sisi wenyewe tunaishi maisha ya wasiwasi
Na vile nilikua nimezoea nikienda nyumbani navuka Tarime kunywa Balimi...sasa siwezi vuka
Eh msee, kumeumana ckuizi. Kwanza ningetaka atumie hiyo juju yake kumanipulate hizo systems za hii realtors company kushow ati nimelipa rent, na kumbe bado. Hapo anaeza nisave sana!rent imekua shida?
Wapi wameandika huyo ni wa kutoka Tz.the guys have taken a notch higher...View attachment 520809
Wapi wameandika huyo ni wa kutoka Tz.