Vipi ukikutana nae mlangoni asubuhi

Vipi ukikutana nae mlangoni asubuhi

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Enjoy

6415_1161761172268_1475002115_409563_6768155_n.jpg
 
nafikiri ntazindukia hospitalini kama itatokea bahati nikaendelea kuwa hai
 
sitaibiwa teeeeeeeeeena maisha ntmueka hapo hapo mlangoni nilipomkuta mimi.......awe mlinzi maarufu mtaani kwangu.........😛ound:😛ound:
 
Nitapiga pozi kwanza, maana nitajua ni malaika Gabriel kaja kuchukua roho... dakika moja ikipita bado niko hai nitatoka mbio Usain bolt cha mtoto...!!!
 
Back
Top Bottom