Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wamepangwa Ili walipe ushuru,hakuna cha bureWakuu habari,
Kama mnavyojua Rais Magufuli alileta kitu kilichoitwa Vitambulisho vya Machinga mwaka 2019
Vitambulisho hivi ambavyo vililipiwa 20,000 vilipelekea ushuru ambao machinga walikuwa wakilipa kwa Halmashauri kufutwa, na badala yake wangelipa hiyo 20k kila mwaka.
Sasa ni miaka 3 imepita na hivyo vitambulisho havijawahi kulipiwa tena, wala havifuatiliwi tena.
Kama halikuwa wazo zuri basi Serikali iendelee na utaratibu wa zamani wa machinga kulipia ushuru kwa halmashauri, maana wanafanya biashara bure huku serikali ikikosa fedha na kuweka kodi kubwa zinazoumiza wachache.
Wameanza kulipa?Wamepangwa Ili walipe ushuru,hakuna cha bure
Sasa wanajisajili? Na kuna ufuatiliaji wowote kuhusu wasiojisajili?Nenda playstore, download "Machinga App" unaweza kumsajiri machinga wako popote ulipo na Kadi ataipata baada ya muda
Wameweka maboresho gani?Zanzibar wameviboresha.
Hapa bara Wanaonekana kero.
Hawa watu sijui wamezaliwa familia za aina gani.
Hawana ubinadamu kabisa.
They are ruthless and heartless.
Huko wanaweza kopea benki kamanda.Wameweka maboresho gani?
Matamko ndiyo yanawaendesha duu, na majina ya kubatizwa majukwaani.Kama lingekuwa wazo zuri wangeanza kwa kuweka sheria inayowalinda machinga na kuvitambua vitambulisho vyao......ile ilikuwa tu ni sarakasi za kukusanya hela na kujipatia mtaji wa kisiasa
Wanakopa bila kuwa na dhamana?Huko wanaweza kopea benki kamanda.
Vip si wameshamaliza kupangwa?Wamepangwa Ili walipe ushuru,hakuna cha bure