Vipi wachezaji wa timu wakagoma kucheza mechi katika ligi?

Twin Tower

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
2,170
Reaction score
3,067
Ikitogea mgomo katika timu, wachezaji wakagoma maamuzi huwa ni yapi?

Ama wachezaji wakasambaratika kambinu, timu ikakimbiwa na wachezaji wote.

Timu itaruhusiwa kusajiri upya na kuendelea na ligi?

Ama uingozi wa timu ukaamua kuwasimamisha wachezaji.

Ligi itasimama kupisha utatuzi wa mgogolo?

Timu itaondolewa katika ligi na kuangalia point zake hadi mwisho wa msimu?

Jambo la fei toto limechangia kujiuliza hayo na kujaribu kupata uhalali wake pia.
Hakuna jambo lisilowezekana kutokea.

Nawatakia Simba ushindi wa 3 kwa 1 hapo kesho.
 
Sijui ni kwa nini mashabiki wengi wa simba ni mbumbumbu!
 
We punguani hujambo? Wenye akili ni wawili tu yaani jk na Sunday manara.

Reference: Manara, H. (2021). Wenye akili ni wawili Tu Utopoloni; 1st Edition. Mkasi publishers. Dar
 
💉💊
 
Ligi haiwezi kusimama na wakigomea watapewa point 3 team pinzani pia Mamlaka utafanya uchunguzi team inaweza kupigwa faini,kufutiwa point 15+ au kushushwa daraja au vyote kwa pamoja
 
Point of correction,ilikuwa ni salama na..
 
Ligi haiwezi kusimama na wakigomea watapewa point 3 team pinzani pia Mamlaka utafanya uchunguzi team inaweza kupigwa faini,kufutiwa point 15+ au kushushwa daraja au vyote kwa pamoja

Sasa kosa linakuwa ni la timu?

Chukulia Yanga pale wachezaji wakapewa mpunga 200m watembee zao, walete visingizio vyovyote vile.
 
Kama wachezaji wako wananunulika ila sio tatizo la TFF, ni tatizo lako na team yako, inamaanisha wachezaji wako hawana furaha, usipoingiza team uwanjani utapewa adhabu kutokana na kanuni, ikijumlisha pia kushushwa daraja.
 
Back
Top Bottom