Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
We punguani hujambo? Wenye akili ni wawili tu yaani jk na Sunday manara.Sijui ni kwa nini mashabiki wengi wa simba ni mbumbumbu!
💉💊We punguani hujambo? Wenye akili ni wawili tu yaani jk na Sunday manara.
Reference: Manara, H. (2021). Wenye akili ni wawili Tu Utopoloni; 1st Edition. Mkasi publishers. Dar
Point of correction,ilikuwa ni salama na..We punguani hujambo? Wenye akili ni wawili tu yaani jk na Sunday manara.
Reference: Manara, H. (2021). Wenye akili ni wawili Tu Utopoloni; 1st Edition. Mkasi publishers. Dar
Ligi haiwezi kusimama na wakigomea watapewa point 3 team pinzani pia Mamlaka utafanya uchunguzi team inaweza kupigwa faini,kufutiwa point 15+ au kushushwa daraja au vyote kwa pamoja
Kama wachezaji wako wananunulika ila sio tatizo la TFF, ni tatizo lako na team yako, inamaanisha wachezaji wako hawana furaha, usipoingiza team uwanjani utapewa adhabu kutokana na kanuni, ikijumlisha pia kushushwa daraja.Sasa kosa linakuwa ni la timu?
Chukulia Yanga pale wachezaji wakapewa mpunga 200m watembee zao, walete visingizio vyovyote vile.