Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Baada ya jana kuchapika bao 4-0 pale pale Bernabeu. Hivi hapa ndio vipigo vikubwa alivyowahi pokea Real Madrid dhidi ya FC Barcelona kwenye El Clasico
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Real Madrid 11–1 BarcelonaNa upande wa pili wa coin ni upi? Ni vipigo vipi Barcelona alichapwa na Real Madrid? Ni muhimu kuweka urari wa hoja yako badala ya kuegemea upande au kumwacha msomaji na maswali! Professional reporting ndivyo inavyotaka.
Si ajabu hii match ilichezwa na wachawi dhidi ya wakimbiz wa kivita wa Afrika na Israel maana ni zama mbaya sana hizo.
Well said.Na upande wa pili wa coin ni upi? Ni vipigo vipi Barcelona alichapwa na Real Madrid? Ni muhimu kuweka urari wa hoja yako badala ya kuegemea upande au kumwacha msomaji na maswali! Professional reporting ndivyo inavyotaka.
Mleta mada kaweka sample size ya 7. Hebu weka the same for Real Madrid.
Zama za Homo Habilis, pathetic
Ha ha ha! Ilikuwa kipindi cha WWII. Ikumbukwe pia kipindi hiko Jimbo la Catalunya ambako ndiko Barcelona ilipo lilikuwa kwenye harakati za kujitenga hivyo vita ilikuwa imepamba moto.Si ajabu hii match ilichezwa na wachawi dhidi ya wakimbiz wa kivita wa Afrika na Israel maana ni zama mbaya sana hizo.
Real Madrid 11–1 BarcelonaMleta mada kaweka sample size ya 7. Hebu weka the same for Real Madrid.
| Real Madrid 8–2 Barcelona | 3 February 1935 |
| Real Madrid 6–1 Barcelona | 18 September 1949 |
| Real Madrid 5–0 Barcelona | 5 October 1953 |
| Real Madrid 5–0 Barcelona | 7 January 1995 |
Ha ha ha! Kwenye research; literature review inaelekezwa kutumia the most recent literature. Wewe umeamua kutumia literature za enzi za "manyani"! Sijui kama prosal yako itapita!Real Madrid 11–1 Barcelona
Copa del Rey
(19 June 1943)
Real Madrid 8–2 Barcelona 3 February 1935
Real Madrid 6–1 Barcelona 18 September 1949
Real Madrid 5–0 Barcelona 5 October 1953
Real Madrid 5–0 Barcelona 7 January 1995
Mimi sihusiki na research.Ha ha ha! Kwenye research; literature review inaelekezwa kutumia the most recent literature. Wewe umeamua kutumia literature za enzi za "manyani"! Sijui kama prosal yako itapita!
Alie kosekana ni Dani tu wengine ni mabeki wazoefu, tatizo ni generation Z ya barca zinatembea kama Kasongo(warthog)Beki za Madrid hazina tofauti na beki za Namungo
Ndo maana, watu walikua na majonzi huku hasira.Ha ha ha! Ilikuwa kipindi cha WWII. Ikumbukwe pia kipindi hiko Jimbo la Catalunya ambako ndiko Barcelona ilipo lilikuwa kwenye harakati za kujitenga hivyo vita ilikuwa imepamba moto.
Nakubaliana na wewe kwa hizo takwimu hazibadiliki. But ukimsoma vizuri mleta mada wala hana maneno mengi; sentensi ya kwanza kaanza simply; "Baada ya jana kuchapika..." unaona anazungumzia "recent history".Mimi sihusiki na research.
Nimeweka takwimu ambazo hazibadiliki wala kuboreshwa.
14 Jan 2024Nakubaliana na wewe kwa hizo takwimu hazibadiliki. But ukimsoma vizuri mleta mada wala hana maneno mengi; sentensi ya kwanza kaanza simply; "Baada ya jana kuchapika..." unaona anazungumzia "recent history".
Ukimsoma vizuri ni kama anauliza kati ya Barcelona na Real Madrid, ni ipi Bora zaidi kwa kigezo cha ushindi wa hivi karibuni? Na amejikita kwenye takwimu za miaka ya karibuni japo amekuwa biased kwa kutoa takwimu za timu moja tu! Anyway, sio kesi Mkuu.