kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Vipigo Vya Mfuatano ambavyo Yanga imekumbana navyo vimesababisha 'Wenge' zito pale Jangwani.
Katika pita pita mtandaoni kila MwanaYanga anayejihisi anayo influence anakuja na Andiko La kujipoza.
Teyari nimekutana na Andiko La Alafat, Privaldinho,La Wachezaji Pacome,Chama na wengine!
Vipigo vimeuma acheni Mchezo.!
Wenge halijatulia bado.
Andiko La nani mwingine umekutana nalo mtandaoni.?