Vipigo vya Mfululizo Vyaichanganya Yanga, Kila Mmoja Anakuja na Andiko.!

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
5,089
Reaction score
9,664
Vipigo Vya Mfuatano ambavyo Yanga imekumbana navyo vimesababisha 'Wenge' zito pale Jangwani.

Katika pita pita mtandaoni kila MwanaYanga anayejihisi anayo influence anakuja na Andiko La kujipoza.

Teyari nimekutana na Andiko La Alafat, Privaldinho,La Wachezaji Pacome,Chama na wengine!

Vipigo vimeuma acheni Mchezo.!
Wenge halijatulia bado.

Andiko La nani mwingine umekutana nalo mtandaoni.?
 
waswahili tunasema 'kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake'
 
Ikitokea wakapigwa tena na Namungo au draw hao mashabiki wao wanaweza wasiende kabisa viwanjani au kuangalia mpira kwenye TV ,maana huku mtaani kwetu tunatembea na helments ,mda wowote jiwe linaweza kutua kichwani maana wamevurugwa
 
Vipigo havijaisha.
Timu zipo kwenye sherehe ya kugombea point za Yanga kitaifa na kimataifa.
Salama yao wamrudishie timu yake mzee Magoma.
 
Ikitokea wakapigwa tena na Namungo au draw hao mashabiki wao wanaweza wasiende kabisa viwanjani au kuangalia mpira kwenye TV ,maana huku mtaani kwetu tunatembea na helments ,mda wowote jiwe linaweza kutua kichwani maana wamevurugwa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…