Kuna dada flani ni best angu sana. Sasa mwezi huu kapitiliza siku zake kwa siku leo ya tano. Nimemshauri aende akapime, kaenda famasi ya kwanza majibu ni negative hakuamini kaenda sehemu nyingine, hiki ni kituo cha afya kwa kutumia kipimo cha aina ile ile majibu yamekuja positive.
Anaomba ushauri, azingatie majibu gani sasa kati ya hayo. Au kipi kinaweza sababisha majibu kuwa tofauti. Na vipimo vyote tarehe yake ya kuexpire bado sana mpaka 2022