Vipimo kutoka kwa daktari

Mkumbizi

Senior Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
171
Reaction score
26
Baada ya matibabu kiasi cha mwezi mmoja kwa ajili ya kuvimba kwa bwelewe la kulia lililoonyesha ndani kuzunguukwa na clear fluid kiasi cha 2.7x2.7cm na kusababisha epididymis kuvimba(nashindwa namna ya kuatachi kipimo cha ultra sound ningekiatachi)hali yangu upande huo sio nzuri nilipewa dawa za siku 14 leo ni siku ya 10 hali si shwari,naombeni ushauri.
 

Cha msingi keep follow up ya daktari wako, kwani yy ndo anajua nn kinaendelea kwako na kwa kiasi gani pia anajua mode of treatment utakayo benefit, matibabu ni mchakato hakuna big results now
 

Pole mkuu, unapatikana wapi?

Subiri siku 14 zipite na urudi kwa daktari aliyekutibu na usiache kutupa feedback na unavyoendelea na kama unahitaji msaada zaidi bado endelea kutujulisha.

Ili ku-attach document hapa fanya hivi:
1. Unapoandika reply yako pale chini bofya kitufe cha 'go advanced' kisha shuka chini kidogo na ubonyeze 'manage attachment'' halafu itakuja popup window na uta-browse file lako lilipo na utabonyeza 'upload' ikimaliza bonyeza 'close this window' na u-post. Angalia picha hapa chini:



 

Attachments

  • mojamoja.png
    14.6 KB · Views: 187
  • mbilimbili.png
    12 KB · Views: 185
Nashukuru,naishi karatu,kuatach vipimo inasumbua maana natumia simu kila nikijaribu inakubali but siioni attachment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…