Mmwaminifu
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 1,129
- 302
Asante kwa ushauri. Kama unafahamu vitu zaidi vya kupima weka hapa mkuu kwa faida yetu sote.Huo ugonjwa wa zamani ndo watu wanaangalia na kutilia mkazo kupima wanaacha vitu genetical ambazo pia ni muhimu kufanyia vipimo.
Omba ushauri wa vipimo vya kupima pia na mwenzi wako siyo ngoma tu
Kwenu hakuna vituo vya afya?Habari wakuu. Nimeanza kuona naelekea kwenye ndoa rasmi. Naombeni maelekezo ni wapi naweza pata huduma ya kupima HIV nimbebe na mtarajiwa wakatupime kwa pamoja.
Naomba kuwasilisha
Tutajuaje kama anataka kuoa?Huu sasa ni ulimbukeni haujui ukimwi unapimwa wapi? au ndio style yakutaka kukimbia tu majibu
Asante kwa jibu lakoHuu sasa ni ulimbukeni haujui ukimwi unapimwa wapi? au ndio style yakutaka kukimbia tu majibu
Inawezekana eeeh!Tutajuaje kama anataka kuoa?
Hatari sana kwa kweliUnataka kuingia ktk ndoa hujui hospitali zilipo?