Vipimo vya HIV-AIDS vina uwezo wa kutambua maambukizi mpya kwa mgonjwa ndani ya masaa 24?

kombora jipya

Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
20
Reaction score
2
Napenda kujua kwa kina ni muda gani mtu endapo mtu akijamiana na mtu mwenye VVU anaweza pimwa na kukuta ana maambukizi n kweli kwamba kwa sasa inawezekana akabainika ndani ya masaa 24???
 
Nooooooooooooooooooooooooooooooooooo. Nenda kampime partner uliyekutana naye. Kama anao, kimbia Hospital wakakupe dawa zinazoitwa PEP. Fanya hivyo ikiwa ni ndani ya masaa 48 tangu mkutane.
 
Je una matatizo yafuatayo katika tendo la ndoa

1. Kuwai kumaliza chini ya dk kumi

2. Uume kusinya ukiwa uken au kabla hujaingiza

3. Uume legelege mda mwingine kushindwa kuingiza uken

4.manii machache na mepesi

5.kushindwa kurudia round ya pili tatu nne au tano

6.kuchoka baada ya round ya kwanza

Kwa kutumia matunda tu ntatoa formula yaan maelezo jins ya kuandaa hayo matunda ukiwa nyumban na kupona kabisa ndani ya siku 3/5/714 inategemea na ukubwa wa tatizo ni matunda bila kemika

Gharama ni elfu 20

Njia ya malipo ni online kwa tigopes mpes kwa namba hii moja 0712505049
Au ofisin chanika mwisho karibu n kisarawe yalipo makazi yangu na ofisi

Utapona kabis kama hujazaliwa na tatizo napia lilitokana na punyeto au vyakula kama wali chips soup soda na kemikali
Wasiliana na dr kwa 012505049
We jamaa vp. Yaani leo tunakusoma wewe tu!!! Aisee. Thread ya nne hii unadandia. Unaboa
 
Napenda kujua kwa kina ni muda gani mtu endapo mtu akijamiana na mtu mwenye VVU anaweza pimwa na kukuta ana maambukizi n kweli kwamba kwa sasa inawezekana akabainika ndani ya masaa 24???
Una hofu ya kuambukizwa Jana? Pima mapema na uanze sawa mapeme. Kadiri utakavyoanza dozi mapema ndivyo vvu vitafubaa zaidi na kukufanya na kuwa fiti.
 
Haiwezekani kujua maambukizi katika muda wa masaa wa masaa 24.
Kipimo cha kawaida(Bioline, Determine, Unigold) ni baada ya miezi mitatu.
Kipimo kikubwa cha kisasa cha kimaabara(PCR) ni baada ya wiki mbili.
 
Huwez kudetect within 24hrs kwa sababu unakuwa kweny window period ivyo unaweza pata majibu baada ya wiki mbili hadi miezi mitatu
 
Haiwezekani kujua maambukizi katika muda wa masaa wa masaa 24.
Kipimo cha kawaida(Bioline, Determine, Unigold) ni baada ya miezi mitatu.
Kipimo kikubwa cha kisasa cha kimaabara(PCR) ni baada ya wiki mbili.
nasikia kubavyouzwa kwenye maduka ya dawa
 
siku 26 or 1month unapata majibu kamili..... sd bioline 3.0 kipimo hichoo

Sent from my HUAWEI P8max using JamiiForums mobile app
 
Nooooooooooooooooooooooooooooooooooo. Nenda kampime partner uliyekutana naye. Kama anao, kimbia Hospital wakakupe dawa zinazoitwa PEP. Fanya hivyo ikiwa ni ndani ya masaa 48 tangu mkutane.
JIBU SAHII SANA
 
Back
Top Bottom