The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Wasengerema hao waandishi, wanataka kila mtu umpeleke hospitali kupima, wana akili kweli?Ni juzi tu wametoka kupiga kelele eti vinatumika vibaya sa sijui Kama utapata kwa kuulizia sahz ishakua nyala za serikali
Ni shidaWasengerema hao waandishi, wanataka kila mtu umpeleke hospitali kupima, wana akili kweli?
Vipiii kumekuchaaaWakuu, naomba msaada wa kupata vipimo vya HIV vinaitwa Determine Early Detect. Nikimaanisha ni famasi gani ama hospitali gani naweza kuvipata.
Natanguliza shukurani zangu za dhati kabisa.
Ahsante.
Mbinguni kuna makao mazuriMchek 0655 641948 anakuletea popote then unaendelea na ACAPELLA kiroho safi
Niko Dar mkuuNilizunguka huu mji ninaoishi hadi nikavipata ila sasa aliyeniuzia havikuwa pale dukani/pharmacy ikabidi nikalishwe 10mins kuvisubiri vitoke mafichoni.
Unapatikana wapi?
Hapana mkuu.Acha uoga, peleka moto wewe.!
Zilizoko maeneo gani kwa hapa Dar es salaam mkuu. Nipe hints ya mbili tatu.Hospital nyingi za wahindi na waarabu wanavyo