Vipimo vya magonjwa ya kurithi

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
23,851
Reaction score
9,472
Hivi kuna vipimo vya kitaalamu vya magonjwa ya kurithi? hospitali zipi wanapima na gharama zake zipoje?

shukrani.
 
Kwa mfano Kisukari ni miongoni mwa hayo magonjwa na kina vipimo vyake...

Hebu funguka ni ugonjwa upi hasa wa kurithi unazungumzia ili usaidike kiufasaha...

Au labda unamaanisha kipimo General cha kugundua iwapo mtu amerithi ugonjwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…