Vipimo vya moyo Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete

kwa wTZ magonjwa ya moyo yanakithiri sana.... tofauti na miaka ya awali 60/70 & 80s ilikuwa nadhra sana.... nini kimesibu?????
 
Mkuu unanichekesha!
Ya huyo Bashite yanakujaje huku??
Ni hivi, wife WANGU anafanyiwa operation jumatatu hapa JK heart Institute! Naongea ninacho experience mkuu!!
Samahani Mkuu hivi hiyo taaasisi iko wapi? Mimi mwenyewe tatizo LA moyo linasumbua sana Mkuu, dar au dodoma?
 
MREJESHO
jana nimeenda pale TAASISI YA MOYO YA JK nikauliza bei za kwamtu anaeanza

130k kwa mtu private yaani anaeanzia pale na wala hatumii bima
65 kwa mtu mwenye barua ya rufaaaa
 
MREJESHO
jana nimeenda pale TAASISI YA MOYO YA JK nikauliza bei za kwamtu anaeanza

130k kwa mtu private yaani anaeanzia pale na wala hatumii bima
65 kwa mtu mwenye barua ya rufaaaa
Afadhali mkuu umeenda na kuthibitisha niliyokwambia.
 
Mkuu unanichekesha!
Ya huyo Bashite yanakujaje huku??
Ni hivi, wife WANGU anafanyiwa operation jumatatu hapa JK heart Institute! Naongea ninacho experience mkuu!!
Mkuu gharama za oparation ya moyo ni bei gani tafadhali
 
Mkuu gharama za oparation ya moyo ni bei gani tafadhali
Operation za moyo zipo nyingi.
N vyema ukamuona daktari kwanza halafu yeye ndie atakayeona unafaa kufanyiwa operation ipi na baada ya hapo utazijua gharama za operatio husika
 
Vipi watoto wadogo chini ya miaka 5 wao gharama zipoje?
 
Operation za moyo zipo nyingi.
N vyema ukamuona daktari kwanza halafu yeye ndie atakayeona unafaa kufanyiwa operation ipi na baada ya hapo utazijua gharama za operatio husika
Gharama zao zikoje boss kwenye opparesheni hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…