Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 602
- 969
Hiyo reading ya tatu ni heart beats per minute![emoji56][emoji56][emoji56][emoji56] Duhh hivi kumbe inakuwaga hivo mimi najua ile ya sehemu mbili mfano 140/90 sasa hii yakuwa na sehemu tatu sijawahi ona labda wajuzi waje kutuambia
Umri miaka 35!Una miaka mingapi?
Rudia mara tatu kwa siku tofauti.
Ofcourse usiwe suprised na Pressure kucheza haiwezi record same reading especially hizi digital.
Kikubwa kama Pressure iko Juu itabaki kuwa Juu tu
Nimegundua kuwa makosa yalikuwa yanafanyika wakati wa upimaji ! walikuwa wanakosea uwekaji mkono! Mkono huwa unatakiwa uwe juu ya kitu mfano meza halafu iwe usawa wa moyo! Sasa mm waliokuwa wananipima nilikuwa nauweka kawaida usawa wa mwili!Pressure ni vizuri kucheki ukiwa hujala kitu na unatakiwa ucheki dakika 10 baada ya kuwa umetulia,pia kwakuwa hiyo yako haiko juu sana, rudia kwa siku mbili tofauti muda uleule,ukiona ya juu inavuka 140 na chini juu ya 85 jua kuwa umeanza kupata shida ya pressure,then muone daktari ili akupime kujua chanzo cha hilo tatizo,kama ina haja ya kuanza dawa au uondoe visababishi bila ya kutumia dawa ili iweze kushuka...
Kipi kinatoa majibu sahihi manual au dogitalhivo vituo ulivoenda, wamekupima kwa Manually au Digitally ???
Embu jaribu kupima mara tatu au nne kwa siku tofauti tofauti ?.
Acha Pombe
Acha Sigara
Acha au punguza matumizi ya Chumv
Achana na vyakula vya mafuta
Usizidishe Lita 2 za maji yakunywa kwa siku.
Mazoezi
Achana Stress za Maisha joooh
Presha ni Muuaji wa kimyakimya.