beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 524
Kweli hio haifai kwa mtu wa University inabidi vipindi kwa wiki viwe on average masaa 15 kwa wiki, tena hapo mnapata hata break ya siku nzima katikati ya wiki..., nadhani hawajui kwamba nyie ni watu wazima na mnayo mambo mengine ya kufanya na inabidi mpate muda wa kujisomea..
Kumbe upo SAUT.., soma ndugu yangu.. all the best with your studies haya ni mapito tu miaka mitatu sio mingi yatapita tu hayo
Yeah ni kweli ushamaliza mbuzi mzima bado mkia tu..., ila ukweli ni kwamba wanawatesa sana.Mpenz sun wu nakwambia mebakiza mwaka mmoja hapa naona moto bt mungu atajaalia tuu tutapita nayo
Wenzenu huku kuna cku ha2na vipindi kabisa.na kwa cku cnaga zaidi ya vipind viwili vyenye 2hrs lecture.
Staki sasa wanilazimisha...sasa ishu kama hii si uitupie tu FB...ushee na wenzio wa saut.....
Karibu udom...full kurelax! Kozi tano unachagua kipindi kimoja kila cku na semina moja au unasoma vyote jtatu mpaka jtano then kuanzia alhamis wkend..!Teh teh! Raha kusoma chuo cha kata anyway....ila huwa nawish ningepataga SAUT...unasoma mambo mengi, unaerevuka na kupevuka akili...kaza buti mwayego!!
Hawa jamaa wa SAUT wanakifanyaga chuo kama secondari zao za seminary, muda c mrefu wanafunzi wataanza kula chuoni maana uniform tayari, mabinti wote sketi na magauni kwenda mbele.
Dah!huku ud kozi 6 tu znatutoa watu knock out,cjui nyie mnaosoma kozi 12 inakuwaje huko!