Vipindi vya TV za kibongo Kipi unakipenda/chukia

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Hellow guyz
Naomba Leo tutiririke humu ndani juu ya vipindi vya TV zetu
Kipi unakipenda kiasi kwamba huwezi kukikosa
Na kipi ukikikuta emergency kwenye TV yako unaweza kuvunja remote kwa hasira

Ni vyema zaidi ukataja na Chanel kinaporushwa

NB ukikuta kuna MTU wa sawa na wewe gonga like alaf mkotii
 
Mimi naanza ni nachokipenda ni sports bar ya clouds + futuhii ya startv
Ninachochukia ni TUNATEKELEZA tbc
 
Mizengwe ITV
Futuhi StarTV
Malumbano ya Hoja ITV
Kipima Joto ITV
Uhuru - Azam Two
Vunja Record Azam Two
Ajenda - StarTV
Jicho Letu ndani ya Habari - StarTV
 
Wale wa Zamadamu ya TBC tukutane hapa ✌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…