Lazaro Samwel
Member
- Apr 27, 2019
- 33
- 26
Umeshawahi kukutana na mteja alafu haujui utaongea naye nini ili uuze kwa wepesi bidhaa yako?
Au umekutana na mteja alafu ukaongea naye kuhusiana na bidhaa yako lakini mwisho wa siku anakwamba “SINA HELA KWA SASAHIVI...” au anakwambia “NITAKUPA JIBU....” au “NAOMBA WIKI NITAKUWA TAYARI...”
Baada ya pale mteja yule anapotea kabisa au hapokei tena simu yako..
Hii imeshawahi kukutokea..
Kwa upande wako uliichukuliaje?
Najua huwa inakera sana haswa kwa wale ambao wanafanya BIASHARA YA MTANDAO/NETWORK MARKETING
Sasa naomba usipate shida sana juu ya ya kujibu vipingamizi mbalimbali vya wateja ili uwe kufanya mauzo kwa wepesi.
Kuna hii EBOOK ambayo nimeiandaa na ndani yake inakupa mwongozo wa namna ya kuweza kuongea na mteja wako na kujibu vipingamizi vyake ili uweze kufunga mahesabu..
Kikawaida ebook hii huwa inapatikana kwa 5,000/= lakini kwa wewe rafiki yangu wa INSTAGRAM leo hii na kesho utakipata kwa ofa ya 3,000/= tuuu
Hakikisha unachangamkia ofa hii mapema na utanishukuru siku moja.
Fanya malipo kwenye namba hizi;
0678010334 / 0753616584 / 06839111049 - Lazaro Samwel Nalingigwa
Alafu nitumie ujumbe wa neno TAYARI Dm/INBOX nami nitakutumia kitabu chako.