Vipingamizi na namna ya kuvijibu

Lazaro Samwel

Member
Joined
Apr 27, 2019
Posts
33
Reaction score
26


Umeshawahi kukutana na mteja alafu haujui utaongea naye nini ili uuze kwa wepesi bidhaa yako? ⁣

Au umekutana na mteja alafu ukaongea naye kuhusiana na bidhaa yako lakini mwisho wa siku anakwamba “SINA HELA KWA SASAHIVI...” au anakwambia “NITAKUPA JIBU....” au “NAOMBA WIKI NITAKUWA TAYARI...” ⁣

Baada ya pale mteja yule anapotea kabisa au hapokei tena simu yako..⁣

Hii imeshawahi kukutokea..⁣

Kwa upande wako uliichukuliaje? ⁣

Najua huwa inakera sana haswa kwa wale ambao wanafanya BIASHARA YA MTANDAO/NETWORK MARKETING⁣

Sasa naomba usipate shida sana juu ya ya kujibu vipingamizi mbalimbali vya wateja ili uwe kufanya mauzo kwa wepesi.⁣

Kuna hii EBOOK ambayo nimeiandaa na ndani yake inakupa mwongozo wa namna ya kuweza kuongea na mteja wako na kujibu vipingamizi vyake ili uweze kufunga mahesabu..⁣

Kikawaida ebook hii huwa inapatikana kwa 5,000/= lakini kwa wewe rafiki yangu wa INSTAGRAM leo hii na kesho utakipata kwa ofa ya 3,000/= tuuu ⁣

Hakikisha unachangamkia ofa hii mapema na utanishukuru siku moja. ⁣

Fanya malipo kwenye namba hizi; ⁣
0678010334 / 0753616584 / 06839111049 - Lazaro Samwel Nalingigwa⁣

Alafu nitumie ujumbe wa neno TAYARI Dm/INBOX nami nitakutumia kitabu chako.⁣




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…