Kassimu Mchuchuri Member Joined Aug 9, 2018 Posts 95 Reaction score 293 Jul 16, 2019 #1 Vipo vitu vingi vya kufanya, usipende kupoteza muda wako kwa kufanya kitu ambacho uwezi. Fanya kile unachoweza na ambacho unahisi kitakupa matokeo chanya.
Vipo vitu vingi vya kufanya, usipende kupoteza muda wako kwa kufanya kitu ambacho uwezi. Fanya kile unachoweza na ambacho unahisi kitakupa matokeo chanya.
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 23,382 Reaction score 29,639 Jul 16, 2019 #2 Kwa hiyo unamshauri bwana yule mwakani hasigombee urais maana hiyo kazi imeshamshinda.
kenge 10 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2014 Posts 1,450 Reaction score 2,383 Jul 17, 2019 #3 Kama mimi nilivyoachana na forex katika level ya demo tu.
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,623 Reaction score 13,759 Jul 17, 2019 #4 kenge 10 said: Kama mimi nilivyoachana na forex katika level ya demo tu. Click to expand... au sio ?
kenge 10 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2014 Posts 1,450 Reaction score 2,383 Jul 17, 2019 #5 google helper said: au sio ? Click to expand... Nimepiga demo na live cent nusu mwaka no progress ***** zake. Piga chini
google helper said: au sio ? Click to expand... Nimepiga demo na live cent nusu mwaka no progress ***** zake. Piga chini
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 23,382 Reaction score 29,639 Jul 17, 2019 #6 kenge 10 said: Kama mimi nilivyoachana na forex katika level ya demo tu. Click to expand... Fx is not for everyone wanasema wenyewe.
kenge 10 said: Kama mimi nilivyoachana na forex katika level ya demo tu. Click to expand... Fx is not for everyone wanasema wenyewe.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 17, 2019 #7 Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Cc: mahondaw