kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake mkuu.Kipindi cha jiwe????
Halafu kijichi kumekaa awkward sana bora Boko, Mbweni au Goba etcPlot in price of a house!!! Not in this era.
Awkward kivipi?!Halafu kijichi kumekaa awkward sana bora Boko, Mbweni au Goba etc
Siyo kijichi unayoijua ww njo uone mikeka inavyotandikw hadi barazani yaani sikuhizi unatoka getini unakanyaga mkeka hadi townHalafu kijichi kumekaa awkward sana bora Boko, Mbweni au Goba etc