Vipodozi Haramu
Member
- Jun 6, 2024
- 5
- 2
Tunaomba Serikali yetu sikivu iangalie hili janga la Vipodozi Haramu vinavyouzwa kama njugu hapa Matui na bwana moja anayejieta ni Agent wa Vipodozi kutoka Congo, Zambia na South Africa, huyu mtu ambae anajieta Jina la hivyo Vipodozi anauza hadharani hivyo Vipodozi ambavyo vimepigwa Marufuku na Serikali.
Tunaomba huyu agent aliye mji mdogo wa Matui - Kiteto adhibitiwe, hivi Vipodozi vyake haramu vina madhara kwa binadamu.
Mzigo wa Vipodozi haramu unahifadhiwa store ambayo ipo jirani na Duka lake Vipodozi. Huyu bwana maarufu hapa Matui kwa kuuza vipodozi haramu, kila mtu anamfahamu kwa hilo jina la Dealer wa Vipodozi Haramu.