Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
ππππ TBS sijui wanakazi gani yaani feki zimezagaa na wabongo wanavyopenda slopeMpk condom fake..me hii ya kumi na tano inapasuka..kwamba me ndo napeleka sana moto au.mnatupa gono na uti...bongo bahati mbaya kila kitu fake kila kitu kila kitu kitu
Acha kuagiza "spears" agiza spares, hiyo mishale utaitumiaje kwenye simu!Wakuu mimi ni fundi simu, changamoto niliyoona kwa spear za simu bongo feki ni nyingi sana na hiyo nimegundua baada ya kuanza kuagiza baadhi ya spears AliExpress.
Nikagundua bongo feki nyingi, inafanya wateja wapoteze uaminifu na sisi maana anaona kama umefanya kusudi kumbe la hasha ni soko lilivyo.
Acha kuagiza "spears" agiza spares, hiyo mishale utaitumiaje kwenye simu!
Sijamshaur mtu nimesema kile nachoona mkuuHapa mnashauriwa muagize na ally express
HayaSijamshaur mtu nimesema kile nachoona mkuu