Viraka wa mapenzi

janga lolote linalokujia yabidi uwe mwangalifu.....ingawaje baadhi ya viraka hupendezesha vazi chakavu.....................
 
Heeeeee Mwana vp tena:der::der::der:
ebu mwulize vyema
naoana swaga zake zimekaa kimanzese zaid
mwambie lugha izi wastaarabu mwiko..akatafute wadau wenzake kwao uko si apa jf
 
ebu mwulize vyema
naoana swaga zake zimekaa kimanzese zaid
mwambie lugha izi wastaarabu mwiko..akatafute wadau wenzake kwao uko si apa jf

Kesha sikia na kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…