Wote ni weusiI won't loose much your time but I will go straight foward to the point. Hv kiukweli ata kama mm nishabiki wa Liverpool yule beki wetu kipenzi cha dunia kamzidi nn mwafrika mwezetu raia wa Senegal Koulibaly? au ndo ubaguzi wa rangi huu?
I won't loose much your time but I will go straight foward to the point. Hv kiukweli ata kama mm nishabiki wa Liverpool yule beki wetu kipenzi cha dunia kamzidi nn mwafrika mwezetu raia wa Senegal Koulibaly? au ndo ubaguzi wa rangi huu?
Halaf akumbuke pia, hyo tuzo alopewa ni kwa ajili ya msimu ule, kama hatoqualify tena msim huu bhas watapewaga hao kina viroboto wao.Mbona hata Van djik ni Mweusi, au kisa anachezea uholanzi unadhani ni mzungu?
Kwahiyo unahisi lapulga uwa hakosi magoli kwa uzembe?mpira ni mchezo wa makosa hakuna mcheza mpira hasiye kosea,Nilisema Tuzo walizopata huyu beki wa liver na kiungo wa real madrid..ni kama zimewapyaya sana....ona goli la kizembe vile....yaani fifa wanahangaika sana ili tu kui force balance lakini dunia hii hadi sasa mfalme wa kumzidi La Pulga bado kutokea !
Sorry mkuu mm nadhni unanikosea kabisa maana kiukweli mm ni liverpool damudamu au kindakindaki hapa nimezungumzia nilichokiona jana though sio kwamba wakija Anfried watatufunga tena.Liverpool msimu uliopita tukicheza nao hao napoli walitufunga kwao na sisi tukawafunga kwetu,nenda youtube uone salah alichomfanya huyo kolibaly wenu,weka statistics mkuu usilinganishe kwa mapenzi yako binafsi
Kama ni shabiki wa Simba basi bado ana Msongo.Mbona hata Van djik ni Mweusi, au kisa anachezea uholanzi unadhani ni mzungu?
Acha kushabikia soka, hujui mpira,, unaaangalia mechi kwa matukio unakuja kupiga kelele, mechi ya Napoli vs Juve hukuiona Koulibaly alivojifunga goli la ushindi, Huyo messi anakosaga magoli ya wazi tuu na penalty, CR7 vilevile , kama unajua soka huwezi judge kwa hivoI won't loose much your time but I will go straight foward to the point. Hv kiukweli ata kama mm nishabiki wa Liverpool yule beki wetu kipenzi cha dunia kamzidi nn mwafrika mwezetu raia wa Senegal Koulibaly? au ndo ubaguzi wa rangi huu?
Mkuu sasa mm nimejudge nn kwa mfano kiasi cha kuniwashia moto kama wa musiba kiasi hcho? Kwa mechi ya jana Koulibaly was in his best full stop.Acha kushabikia soka, hujui mpira,, unaaangalia mechi kwa matukio unakuja kupiga kelele, mechi ya Napoli vs Juve hukuiona Koulibaly alivojifunga goli la ushindi, Huyo messi anakosaga magoli ya wazi tuu na penalty, CR7 vilevile , kama unajua soka huwezi judge kwa hivo