Virgil van Dijk na Koulibaly Uefa watafute utaratibu mpya wakupata wachezaji bora wa ulaya

I won't loose much your time but I will go straight foward to the point. Hv kiukweli ata kama mm nishabiki wa Liverpool yule beki wetu kipenzi cha dunia kamzidi nn mwafrika mwezetu raia wa Senegal Koulibaly? au ndo ubaguzi wa rangi huu?
Koulibaly aliisaidia timu yake kupata kombe lipi?
Makosa anayofanya VVD hata yeye hufanya sana tu. Tatizo tunaangalia zaidi EPL kuliko Serie A
 
VVD is overrated...

Kingine Messi alichokifanya msimu uliopita angefanya salah angepewa Baloon D Or Ila kwa vile ni Messi watu wanajikuta wameshazoea kuona 50+ goals na 20+ assists
 
I didn't take much time to know about him sorry for that but what Koulibaly did for us yesterday was something un terrible.

Hayo maneno Mekundu ndiyo yamemaliza kila kitu.

Key points:

1) Humjui VVD
But unamfanyia tathmini ya uchezaji wake
2) Kumbe ni Jana tu ndiyo umewaona wote lakini umeshajudge nani ni bora kuliko mwengine! Just one game?
 
Hivyo vigezo ndio sasa vinawapoteza Fifa....hivi leo hii ukitajiwa jina la VD,au Luka Modric..unastushwa na nini ? Lakini Lionel Messi jina ambalo ukilisikia uta pay attention tu.....ifikie pahala mchezaji ateuliwe kwa uwezo wake si kura au vigezo.

Hilo neno jekundu ndiyo lililoondosha Maana nzima ya maneno yako

Uwezo huja na Vigezo Mkuu
Hata Neymar ana uwezo lakini anaisaidia nini PSG?
Hata Pogba ana uwezo lakini anaisaidia nini Man United?

Hizi tunzo walioziita "Mchezaji bora (Best Player)" si wajinga mkuu!
Mbona hawakuziita "Tunzo za Mchezaji mwenye Kipaji (Most talented player)'? Unajua kwanini?

Kwasababu unaweza kuwa na kipaji lakini ukashindwa kukitumia (Mfano Pogba & Neymar). Ndiyomana tunzo zikawa za Mchezaji bora na wala si Mchezaji mwenye Kipaji.

Kwahiyo ni sahihi kuwa VVD alikuwa bora Msimu uliopita kuisaidia timu yake kuipa Mafanikio ya CL kuliko huyo Messi na Ronaldo.
 
Umeongea vizuri
 
I didn't take much time to know about him sorry for that but what Koulibaly did for us yesterday was something un terrible.
Mpira ni mchezo wa makosa boss na ndio maana mshindi hupatikana mwisho wa msimu maana Coulibaly mechi ya napoli na juve alichomesha mbaya dk za mwisho so wapewe muda kidogo
 
Nilisema Tuzo walizopata huyu beki wa liver na kiungo wa real madrid..ni kama zimewapyaya sana....ona goli la kizembe vile....yaani fifa wanahangaika sana ili tu kui force balance lakini dunia hii hadi sasa mfalme wa kumzidi La Pulga bado kutokea !
Acha uboya afu KING RONALDO UMUWEKE WAPI?
 
Liverpool msimu uliopita tukicheza nao hao napoli walitufunga kwao na sisi tukawafunga kwetu,nenda youtube uone salah alichomfanya huyo kolibaly wenu,weka statistics mkuu usilinganishe kwa mapenzi yako binafsi
Mwakà jana Mbona mbali hiyo juz yenyew koulibaly kalambishwa vumbi. Mech ya ufunguz huko kwao kajifunga
 
VVD is overrated...

Kingine Messi alichokifanya msimu uliopita angefanya salah angepewa Baloon D Or Ila kwa vile ni Messi watu wanajikuta wameshazoea kuona 50+ goals na 20+ assists
kweli uyo VVD ni kama ramine moro wa yanga
 
Unajua Kuna vitu mnaongea utafikiri wote hamjui mpira ebu tuangalie nyuma kidg Liverpool ya msimu ule wa 2017 kulud kabla ya ujio wa huyo vvd,fabinho,keita Na alisson Becker ilikuaje ndo ujue be mpira wa miguu hachezi mtu mmoja Kama mnavyotaka kulazimisha huyo vvd anakuwa mzuri kwa sababu ana combination inayoeleweka kule mbele hapa Kati haya beki za pembeni kiujumla Yuko vizur wengi tumemjua baada ya kuwa yupo Liverpool lkn wakat yupo southmptom pengne hatukumjua kivile Liverpool kwa Sasa wako imara Kila sector
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…