VIRGIN COCONUT OIL

VIRGIN COCONUT OIL

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
Karibu jipatie mafuta ya nazi yasiyochemshwa (cold pressed). Mafuta yanakamuliwa kwa hali ya usafi na nazi safi ambazo hazijaharibika. Unaweza kupikia au kutumia kutuamia yakiwa mabichi kama dawa
Ukihitaji kiasi chochote kinapatikana kwa kuweka oda

Lita moja 35000. Nipo kisiwa cha mafia.
0752042670
IMG_20241207_120459_286.jpg
 
Sawa Sawa

Yanafaa Kama Kilainishi Kwenye Magari ?
 
Nimechanganyikiwa na neno virgin!!, bado nipo kwenye utata kwanini limetumika kwenye haya mafuta!
🤣😂🤣😂😂🤣😂Unataka Uitoboe
Wahuni Motoni
 
Nimechanganyikiwa na neno virgin!!, bado nipo kwenye utata kwanini limetumika kwenye haya mafuta!
uchakataji wake hauhusishi kutiwa kwenye moto mkuu. Nazi nzima inakandamizwa na mashine hadi mafuta yanatoka. Tunajua ukitaka kupata mafuta kwenye mimea ukitumia joto ndio unapata kirahisi
 
uchakataji wake hauhusishi kutiwa kwenye moto mkuu. Nazi nzima inakandamizwa na mashine hadi mafuta yanatoka. Tunajua ukitaka kupata mafuta kwenye mimea ukitumia joto ndio unapata kirahisi
kwahiyo kukandamiza nazi hadi kutoa mafuta ndo u virgin..??
 
Nimechanganyikiwa na neno virgin!!, bado nipo kwenye utata kwanini limetumika kwenye haya mafuta!
KIingereza kipana ndugu. Neno virgin lina maana tofauti na unavyofikiria

Ukisema kitu fulani ni virgin maana yake hakijachakachuliwa yani ni natural.
 
Back
Top Bottom