π€£ππ€£πππ€£πUnataka UitoboeNimechanganyikiwa na neno virgin!!, bado nipo kwenye utata kwanini limetumika kwenye haya mafuta!
huyu anafaa ban anatutendesha dhambi watu tuko mfungoni!!!!π€£ππ€£πππ€£πUnataka Uitoboe
Wahuni Motoni
Anatukwaza Haahuyu anafaa ban anatutendesha dhambi watu tuko mfungoni!!!!
uchakataji wake hauhusishi kutiwa kwenye moto mkuu. Nazi nzima inakandamizwa na mashine hadi mafuta yanatoka. Tunajua ukitaka kupata mafuta kwenye mimea ukitumia joto ndio unapata kirahisiNimechanganyikiwa na neno virgin!!, bado nipo kwenye utata kwanini limetumika kwenye haya mafuta!
kwahiyo kukandamiza nazi hadi kutoa mafuta ndo u virgin..??uchakataji wake hauhusishi kutiwa kwenye moto mkuu. Nazi nzima inakandamizwa na mashine hadi mafuta yanatoka. Tunajua ukitaka kupata mafuta kwenye mimea ukitumia joto ndio unapata kirahisi
KIingereza kipana ndugu. Neno virgin lina maana tofauti na unavyofikiriaNimechanganyikiwa na neno virgin!!, bado nipo kwenye utata kwanini limetumika kwenye haya mafuta!
Basi hawaliheshimu hilo neno!KIingereza kipana ndugu. Neno virgin lina maana tofauti na unavyofikiria
Ukisema kitu fulani ni virgin maana yake hakijachakachuliwa yani ni natural.