INAUZWA Viriba vinauzwa

Asheryelly

New Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
4
Reaction score
4
Kwa mahitaji ya polythene tube(Viriba) vya size kuanzia Inch 2.5 hadi Inch 15 vya Gauge(G) zote zinazohitajika kwa uotesheaji wa miti ya matunda, mbao, maua N.k kwa Tsh 4000/= tu kwa KILO 1 Karibu sana.

Piga, 0787009807.

IMG-20221013-WA0000.jpg
 
Hiyo kilo 1 inakuwa na wastani wa viriba vingapi kwa kila inch?
 
Upo wapi? Naumevikata kabisa kama vinavyoonekana kwene pcha au unauza rola kama rola?
 
Upo wapi? Naumevikata kabisa kama vinavyoonekana kwene pcha au unauza rola kama rola?
Nipo mbeya mjini, vilivyokatwa vipo pia na rola pia zipo, lakini vilivyo katwa na kubanwa chini ni elfu5 tu na rola ni elfu4 kwa kilo1
 
Back
Top Bottom