Asheryelly New Member Joined Nov 29, 2022 Posts 4 Reaction score 4 Nov 30, 2022 #1 Kwa mahitaji ya polythene tube(Viriba) vya size kuanzia Inch 2.5 hadi Inch 15 vya Gauge(G) zote zinazohitajika kwa uotesheaji wa miti ya matunda, mbao, maua N.k kwa Tsh 4000/= tu kwa KILO 1 Karibu sana. Piga, 0787009807.
Kwa mahitaji ya polythene tube(Viriba) vya size kuanzia Inch 2.5 hadi Inch 15 vya Gauge(G) zote zinazohitajika kwa uotesheaji wa miti ya matunda, mbao, maua N.k kwa Tsh 4000/= tu kwa KILO 1 Karibu sana. Piga, 0787009807.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Nov 30, 2022 #2 Hiyo kilo 1 inakuwa na wastani wa viriba vingapi kwa kila inch?
Asheryelly New Member Joined Nov 29, 2022 Posts 4 Reaction score 4 Nov 30, 2022 Thread starter #3 Tate Mkuu said: Hiyo kilo 1 inakuwa na wastani wa viriba vingapi kwa kila inch? Click to expand... Wastani wa idadi ya viriba kwenye kilo moja inategemea na Inch ya viriba na gauge.
Tate Mkuu said: Hiyo kilo 1 inakuwa na wastani wa viriba vingapi kwa kila inch? Click to expand... Wastani wa idadi ya viriba kwenye kilo moja inategemea na Inch ya viriba na gauge.
Asheryelly New Member Joined Nov 29, 2022 Posts 4 Reaction score 4 Nov 30, 2022 Thread starter #4 Asheryelly said: Wastani wa idadi ya viriba kwenye kilo moja inategemea na Inch ya viriba na gauge. Click to expand...
Asheryelly said: Wastani wa idadi ya viriba kwenye kilo moja inategemea na Inch ya viriba na gauge. Click to expand...
Majan JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 1,271 Reaction score 1,828 Dec 2, 2022 #5 Upo wapi? Naumevikata kabisa kama vinavyoonekana kwene pcha au unauza rola kama rola?
Asheryelly New Member Joined Nov 29, 2022 Posts 4 Reaction score 4 Dec 3, 2022 Thread starter #6 Majan said: Upo wapi? Naumevikata kabisa kama vinavyoonekana kwene pcha au unauza rola kama rola? Click to expand... Nipo mbeya mjini, vilivyokatwa vipo pia na rola pia zipo, lakini vilivyo katwa na kubanwa chini ni elfu5 tu na rola ni elfu4 kwa kilo1
Majan said: Upo wapi? Naumevikata kabisa kama vinavyoonekana kwene pcha au unauza rola kama rola? Click to expand... Nipo mbeya mjini, vilivyokatwa vipo pia na rola pia zipo, lakini vilivyo katwa na kubanwa chini ni elfu5 tu na rola ni elfu4 kwa kilo1