UZZIMMA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 414
- 481
Naam, naona vitu mbalimbali vinakatazwa. Natumaini kwa kizazi kijacho hawatajua nini maana ya Rambo wala viroba.
Hivyo naishauri serikali vitu hivi viwekwe Makumbusho, natumaini vitaongeza pato la taifa kwa staili nyengine.
Na wewe ongezea vyako, vilivyokatazwa na vinastahili kuwekwa Makumbusho, kwaajili ya kizazi kijacho.