Kuwa na TBS mark ni nembo ya ubora.
Baada ya sera ya kulinda mazingira ya afrika mashariki ndipo likaja azimio hilo la kuzuia uzagaaji wa plastics zikiwemo zitokanazo na viroba.
Sasa ukiwa huna taarifa unaweza kukurupuka na kulaumu bila kufahamu.
Na ndo maana wakapewa muda tokea May 20 2016 taarifa ikatolewa hvyo wajiandae