Virtually everything we have been taught from birth has been a lie, or at best a partial-truth

Mambo mazito haya
Ni mazito sana.Ni vema watu wakaukubali ukweli na kujiandaa ki-saikolojia,kuliko kuukimbia ukweli.Mimi nia yangu ni kwamba tuusambaze huu ukweli kwa as many people as possible and then tu-revolt against the NWO,mbona ni wachache tuu!Lakini kwa jinsi watu walivyo mambumbumbu,this is too far fetched.
 
Ujinga mtupu
 
Ujinga mtupu
Mwenye akili anajua hii ni kweli, na wewe ndiye mjinga. The fact that umeshindwa kuni-ignore shows how important the information is to the masses. Unaogopa kwamba kibarua kitaota nyasi na watu watawageukia na wawanyonga kwa kushirikiana na adui zao kuwaingiza in untold suffering and ignorance for so long
 
Huu uzi kuna links source zimetolewaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…