Mbona sijaona aliyetaja suala la gharama?Haikuwa nia yangu kusema chochote lakini hili limenisukuma kusema maana kwa wadada wetu ukimtaka, hayo maringo na mapozi utakayopewa inafikia kipindi cha kumega umeshatafuna si chini ya 500,000/= lakini kwa kiruka njia kila siku utakayo ni 5000/= na imezidi sana 10,000/=sasa ukigawanya kwa hiyo sum ya juu utajikuta kwa kiruka njia umecharaza zaidi ya mara 100 na unapewa bila kubaniwa tumbua lote lako hakuna cha leo niko sijui mlimani.Wakati huyu anayejidai katulia utahonga zaidi ya hizo na utaendelea kumhudumia as long as mko pamoja.Cha ajabu sasa kiruka njia akikuzoea na mkopo utapata siku zingine lakini yule anayejidai si kiruka njia akikuzoea ndio matatizo yake yooote na ukoo wake utabebeshwa wewe na kumega kwa masharti,eti leo siwezi kuja shangazi kanitembelea ,Kha!!!!Si bora nihangaike na viruka njia mpaka nitakapoamua kutulia na familia.